Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-ZANZIBAR ADONDOKA, AKIMBIZWA AMANA

Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Zanzibar, Haji Ambar Khamis. MAKAMU Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Zanzibar, Haji Ambar Khamis, leo amedondoka kutokana na matatizo ya moyo na kukimbizwa katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kwa matibabu. Baada ya kufikishwa hospitalini hapo, Mhe. Ambar alipimwa na kukutwa presha yake ipo juu ambapo alipelekwa katika chumba namba 7 kwa mapumziko. Baadaye alipelekwa katika kipimo cha moyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI


Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,Letcia Mosore (katikati)akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani)  juu  ya ukiukaji wa katiba ya chama hicho kumvua madaraka iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwakilishi NCCR-Mageuzi ,Hamlyn Erasto,Kushoto ni Kamishina Mkoa wa Ruvuma,Mchatta Mchatta.Baadhi ya waandishi wakiwa katika mkutano huo.

Na Chalila Kibuda

AALIYEKUWA  Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...

 

9 years ago

Mwananchi

Makamu mwenyekiti NCCR - Mageuzi asimamishwa

Makamu Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, Leticia Mosore amesimamishwa uongozi kutokana na kukiuka taratibu na madai ya kushirikiana na CCM kukihujumu chama hicho.

 

9 years ago

GPL

MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI AMJIBU MBATIA

Kamishna wa NCCR-Mageuzi wa Mkoa wa Ruvuma, Mchatta Eric Mchatta (kushoto) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi, Leticia Ghatti Mosore, na mwakilishi wa NCCR-Mageuzi, Hamlyn Erasto. Leticia Mosore (katikati) akisoma taarifa yake.…

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

NCCR-Mageuzi Watibua Njama za Kuhujumu UKAWA……..Wamtimua Makamu Mwenyekiti wa Chama Hicho

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia Thursday, October 1, 2015 Ikiwa zimebaki siku 23 kufikia siku ya kupiga kura nchini, mapya yameibuliwa na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, akidai kuwa zipo njama chafu […]

The post NCCR-Mageuzi Watibua Njama za Kuhujumu UKAWA……..Wamtimua Makamu Mwenyekiti wa Chama Hicho appeared first on Mzalendo.net.

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma.

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) akutana na Makamu Mwenyekiti wa Rais wa China

2

Viongozi wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa  China Li Yuanchao (hayupo pichani) kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.

4

Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Philip Mangula akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa  China Li Yuanchao mara baada ya kumaliza mkutano.

6

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa  China Li Yuanchao akionyesha zawadi aliyopewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZINDUA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM

 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM...

 

10 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani