MTOTO WA CIARA AGEUKA KIVUTIO
Msanii wa R&B, Ciara. California, Marekani MSANII wa R&B, Ciara Princess Harris hivi karibuni mtoto wake, Future Zahir aligeuka kivutio kwenye tamasha la utoaji tuzo za michezo ambazo huandaliwa na watoto ziitwazo, Kid’s Sports Choice Awards. Ciara akiwa na mwanaye. Katika tuzo hizo ambazo huandaliwa na Kituo cha TV cha Nickelodeon, Ciara alikuwa ameongozana na Future Zahir pamoja na mchumba wake, Rusell Wilson...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AGEUKA KIVUTIO SHEREHE ZA WANAWAKE SINGIDA
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Baada ya Future kumshambulia Ciara kwenye Twitter… kambi ya Ciara haijamuacha bure!
Mvutano kati ya Future na Ciara juu ya malezi ya mwano, ‘Baby Future’ umezidi kuwa mkubwa, baada ya Future kumshambilia vikali Ciara, kambi ya Ciara haijakaa kimya wao pia wameongea na kueleza upande wao wa stori. Kwa mujibu wa mtandao wa E!News wa Marekani, kambi ya Ciara imepinga tuhuma za Future kupitia page yake ya […]
The post Baada ya Future kumshambulia Ciara kwenye Twitter… kambi ya Ciara haijamuacha bure! appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
GPL40 YA MTOTO WA SANDRA KIVUTIO
9 years ago
Mtanzania21 Nov
Zitto ageuka
Evans Magege na Jonas Mushi
MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, jana hakutoka bungeni wakati wabunge wa upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) walipoamriwa kufanya hivyo na Spika wa Bunge, Job Ndugai, baada ya kukataa kuacha kuzomea na kupiga kelele kwa minajili ya kumzuia Rais John Magufuli kuzindua Bunge la 11.
Awali Zitto alionekana kuungana na Ukawa kabla Rais Magufuli hajaingia ndani ya Bunge.
Tukio ambalo lilionekana kuwaunganisha Zitto na Ukawa ni lile...
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Maximo ageuka ‘mbogo’
9 years ago
Bongo525 Nov
Music: Ciara – Oh Baby
Mkali wa muziki wa R&B kutoka Mareknai, Ciara ameamua kuanza maandalizi yake mapema kwa kuwazawadia mashabiki wake nyimbo mbili mpya. Kwa sasa wimbo uliotoka rasmi ni ‘Oh Baby’ sikiliaza hapa
Kupitia account yake ya Twitter, Ciara alipost Tweet
“Hey CSquad Here’s My Gift To You! #SpecialEdition and #OhBaby Happy Holidays! Love CC,” she tweeted.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na...
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Future amshambulia Ciara
NEW YORK, MAREKANI
MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Nayvadius Wilburn ‘Future’, amemshambulia mpenzi wake wa zamani, Ciara kwa malezi mabaya ya mtoto wao.
Wawili hao walifanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye walimpa jina la Future Zahir, wakati wa uhusiano wao, lakini baada ya kutengana mtoto huyo akawa anaishi na mama yake ‘Ciara’ ila Future ameonekana kuchukizwa na malezi ya mama huyo kwa mtoto wake.
“Najua mwanangu anateseka kukaa na mama yake, hafundishwi maadili mazuri...
10 years ago
Bongo514 Jan
New Music: Ciara — I Bet
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Mwambusi ageuka ‘mbogo’