Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto ageuka

zitto00Evans Magege na Jonas Mushi

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, jana hakutoka bungeni wakati wabunge wa upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) walipoamriwa kufanya hivyo na Spika wa Bunge, Job Ndugai, baada ya kukataa kuacha kuzomea na kupiga kelele kwa minajili ya kumzuia Rais John Magufuli kuzindua Bunge la 11.

Awali Zitto alionekana kuungana na Ukawa kabla Rais Magufuli hajaingia ndani ya Bunge.

Tukio ambalo lilionekana kuwaunganisha Zitto na Ukawa ni lile...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maximo ageuka ‘mbogo’

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewaweka kitimoto nyota wake huku akiwatuhumu kuwa hawakabi uwanjani na wanaridhika mapema na matokeo, jambo linalosababisha timu hiyo kuwa katika wakati mgumu kwenye mechi zao za ligi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwambusi ageuka ‘mbogo’

>Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi   amewashutumu watu waliomzushia kuwa amenunuliwa nyumba na klabu ya Azam FC, hali iliyofanya maisha yake kuwa hatarini kabla ya mchezo huo.

 

9 years ago

GPL

IDRIS AGEUKA BODIGADI WA MNAMIBIA!

Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan akimrekebisha shati Luis Munana. MSHINDI wa Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan juzi kati aligeuka bodigadi wa muda wa mshiriki mwenzake wa Big Brother kutoka Namibia, Luis Munana. Katukio hako ‘amazing’ kalijiri katika sherehe ya kuzaliwa ya staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu ambapo muda mwingi Idris alikuwa akihakikisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Kamara ageuka ‘adui’ Yanga

Dar es Salaam. Badaa ya kutoswa na Yanga, kiungo wa Sierra Leone, Lansana Kamara ameibukia kwa wapinzani wao katika mchezo wa leo, SC Villa ya Uganda.

 

10 years ago

GPL

MAMA KANUMBA AGEUKA MBOGO

Na Mayasa Mariwata/Risasi Mchanganyiko
KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mtegoa amegeuka mbogo baada ya kuulizwa kuhusu hatima ya kikazi ya taasisi hiyo. “Muonekana wa Ofisi ya Kanumba The Great wakati ikiwa inafanya kazi. Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni haimhusu mtu yeyote, hili ni...

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA CIARA AGEUKA KIVUTIO

Msanii wa R&B, Ciara. California, Marekani
MSANII wa R&B, Ciara Princess Harris hivi karibuni mtoto wake, Future Zahir aligeuka kivutio kwenye tamasha la utoaji tuzo za michezo ambazo huandaliwa na watoto ziitwazo, Kid’s Sports Choice Awards. Ciara akiwa na mwanaye.
Katika tuzo hizo ambazo huandaliwa na Kituo cha TV cha Nickelodeon, Ciara alikuwa ameongozana na Future Zahir pamoja na mchumba wake, Rusell Wilson...

 

10 years ago

Mtanzania

Samatta ageuka lulu Ulaya

samatta1111111111111NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, amezidi kugeuka lulu kwa timu za Ulaya baada ya matajiri wa Urusi, CSKA Moscow nao kuonyesha nia ya kumsajili katika dirisha dogo linalomalizia usajili.

Samatta aliyeondoka nchini mwishoni mwa wiki kuelekea Hispania kufanya mazungumzo na moja ya timu ya huko inayoshiriki Ligi Kuu ya Hispania ‘La Liga’, sasa amekutana na zali jingine nchini humo baada ya CSKA nayo kumfukuzia.

Mtoa habari wetu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzungu wa Simba ageuka ‘mbogo’

Kocha wa Simba, Dylan Kerr amesema anataka wachezaji wote wa timu hiyo wawe wamejiunga na kambi yake iliyoko hapa, la sivyo watafute timu nyingine za kuchezea.

 

11 years ago

GPL

KAJALA ALEWA TILALILA, AGEUKA KITUKO

Stori:  IMELDA MTEMA
STAA wa sinema za nyumbani (Swahili Hood), Kajala Masanja amegeuka kituko nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu, Kijitonyama, Dar baada ya kulewa tilalila na kuwaacha midomo wazi wasanii wenzake, Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa. Kajala Masanja. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, Kajala alifanya madudu hayo mwishoni mwa wiki iliyopita alipokuwa akirekodi filamu yake inayokwenda kwa jina la Laana ambapo waigizaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani