Samatta ageuka lulu Ulaya
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, amezidi kugeuka lulu kwa timu za Ulaya baada ya matajiri wa Urusi, CSKA Moscow nao kuonyesha nia ya kumsajili katika dirisha dogo linalomalizia usajili.
Samatta aliyeondoka nchini mwishoni mwa wiki kuelekea Hispania kufanya mazungumzo na moja ya timu ya huko inayoshiriki Ligi Kuu ya Hispania ‘La Liga’, sasa amekutana na zali jingine nchini humo baada ya CSKA nayo kumfukuzia.
Mtoa habari wetu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboPAUL POGBA AGEUKA KIPUSA HUKO ULAYA
Paul Pogba habari ya mji
*Anawaniwa na timu tano, City kuwatoa Toure, Nasri, Dzeko
*Sterling kupiga mnada nyumba Liverpool ili ahamie London
Dirisha hili la usajili linaonekana kumweka katika chati ya juu sana mwanasoka Mfaransa anayekipiga Juventus, Paul Pogba,22, ambaye anawaniwa na klabu kubwa tano.Kiungo huyo anawaniwa na Manchester City waliosema wapo tayari kuachana na mmoja au wawili wa wachezaji wake watano pamoja na kitita cha fedha ilimradi wampate Pogba.
Klabu nyingine zinazopigana...
9 years ago
Mtanzania10 Oct
Ndoto ya Samatta Ulaya shakani
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
NDOTO ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayecheza katika klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samatta ya kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya, huenda ikayeyuka baada ya mabosi wake kuonyesha nia ya kuboresha mkataba wake.
Samatta alijiunga na Mazembe mwaka 2011 akitokea klabu ya Simba ya Dar es Salaam, kwa mkataba wa miaka mitano unaomalizika Mei, 2016.
Kwa hivi sasa Samatta amekuwa tegemeo katika kikosi cha Mazembe, akiwa ni kati ya wachezaji wanaowania...
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Samatta awavutia mawakala Ulaya
*Lowassa, Malinzi wammwagia pongezi
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
SASA ni wazi kuwa siku zinahesabika kwa mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta kuendelea kubaki kuichezea timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Wakati zikiwa zimesalia siku 53 dirisha dogo la usajili kufunguliwa barani Ulaya, juzi Samatta alimulikwa na mawakala wengi kutoka barani humo na hapa Afrika kwenye mchezo wa fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya USM Alger ya Algeria.
Ukiondoa...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Nne Ulaya zamsaka Samatta
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anayekipiga klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, amepata ofa nne za kujiunga na klabu mbalimbali barani Ulaya. Akizungumza na...
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Samatta kulamba Sh1.6 bilioni Ulaya
9 years ago
Habarileo11 Nov
Kocha Pluijm ampa nafasi Samatta Ulaya
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amempongeza mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta kwa kuiwezesha TP Mazembe kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Afrika na kumshauri sasa ni wakati wake wa kucheza soka la kulipwa Ulaya.
10 years ago
Vijimambo05 Feb
SAMATTA: sikubali, kwa kiwango changu Ulaya pananihusu
Straika huyo amejipatia umaarufu mkubwa miaka ya hivi karibuni kutokana na umahiri wake uwanjani hasa katika kufunga mabao. Anayafanya haya akiwa na klabu yake ya TP Mazembe pamoja na timu ya Taifa Tanzania.HAKUNA ubishi kwamba straika wa TP Mazembe na Taifa Stars, Mbwana Samatta, ndiye mwanasoka mahiri wa Tanzania katika zama hizi. Wapo wengi wanaotamba, lakini Samatta ni funga kazi kwa sasa.
Straika huyo amejipatia umaarufu mkubwa miaka ya...
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Lilipofikia dili la Mbwana Samatta kwenda Ulaya January 2016, hii ndio kauli ya meneja wake …
Usiku wa December 24 ulikuwa ni usiku ambao zilizagaa au kuvuja habari za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kutajwa kwenda kucheza soka la kulipwa katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji. Stori zilianza kama tetesi na baadae mmoja kati ya mitandao […]
The post Lilipofikia dili la Mbwana Samatta kwenda Ulaya January 2016, hii ndio kauli ya meneja wake … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo23 Dec
TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga …
Mtu wangu wa nguvu najua unashauku ya kutaka kufahamu leo December 23 kuna stori gani katika headlines za soka la Bongo. Huenda ukawa hukupata bahati ya kusoma stori za michezo za magazeti ya leo December 23. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee headlines 5 za stori za magazeti ya michezo ya Tanzania. 5- Majabvi amalizana […]
The post TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga … appeared first on TZA_MillardAyo.