Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAMATTA: sikubali, kwa kiwango changu Ulaya pananihusu

Mbwana Samatta By Gift Macha (email the author) 
Straika huyo amejipatia umaarufu mkubwa miaka ya hivi karibuni kutokana na umahiri wake uwanjani hasa katika kufunga mabao. Anayafanya haya akiwa na klabu yake ya TP Mazembe pamoja na timu ya Taifa Tanzania.HAKUNA ubishi kwamba straika wa TP Mazembe na Taifa Stars, Mbwana Samatta, ndiye mwanasoka mahiri wa Tanzania katika zama hizi. Wapo wengi wanaotamba, lakini Samatta ni funga kazi kwa sasa.
Straika huyo amejipatia umaarufu mkubwa miaka ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Nne Ulaya zamsaka Samatta

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anayekipiga klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, amepata ofa nne za kujiunga na klabu mbalimbali barani Ulaya. Akizungumza na...

 

9 years ago

Mtanzania

Ndoto ya Samatta Ulaya shakani

samattaNA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

NDOTO ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayecheza katika klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samatta ya kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya, huenda ikayeyuka baada ya mabosi wake kuonyesha nia ya kuboresha mkataba wake.

Samatta alijiunga na Mazembe mwaka 2011 akitokea klabu ya Simba ya Dar es Salaam, kwa mkataba wa miaka mitano unaomalizika Mei, 2016.

Kwa hivi sasa Samatta amekuwa tegemeo katika kikosi cha Mazembe, akiwa ni kati ya wachezaji wanaowania...

 

9 years ago

Mtanzania

Samatta awavutia mawakala Ulaya

IMG_4679*Lowassa, Malinzi wammwagia pongezi

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

SASA ni wazi kuwa siku zinahesabika kwa mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta kuendelea kubaki kuichezea timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Wakati zikiwa zimesalia siku 53 dirisha dogo la usajili kufunguliwa barani Ulaya, juzi Samatta alimulikwa na mawakala wengi kutoka barani humo na hapa Afrika kwenye mchezo wa fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya USM Alger ya Algeria.

Ukiondoa...

 

10 years ago

Mtanzania

Samatta ageuka lulu Ulaya

samatta1111111111111NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, amezidi kugeuka lulu kwa timu za Ulaya baada ya matajiri wa Urusi, CSKA Moscow nao kuonyesha nia ya kumsajili katika dirisha dogo linalomalizia usajili.

Samatta aliyeondoka nchini mwishoni mwa wiki kuelekea Hispania kufanya mazungumzo na moja ya timu ya huko inayoshiriki Ligi Kuu ya Hispania ‘La Liga’, sasa amekutana na zali jingine nchini humo baada ya CSKA nayo kumfukuzia.

Mtoa habari wetu...

 

9 years ago

Mwananchi

Samatta kulamba Sh1.6 bilioni Ulaya

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mbwana Samatta yuko mbioni kujiunga na klabu ya Ligi Kuu Ufaransa (Ligue 1), Lllle kwa Euro 700,000, sawa na (Sh1,611,675,675.99 za Tanzania.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Pluijm ampa nafasi Samatta Ulaya

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amempongeza mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta kwa kuiwezesha TP Mazembe kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Afrika na kumshauri sasa ni wakati wake wa kucheza soka la kulipwa Ulaya.

 

9 years ago

Vijimambo

PONGEZI KWA CHAMA CHANGU

Loveness Mamuya, mratibu wa CCM Marekani
Baada ya kuangalia na kufuatilia mikutano ya kampeni kama kada wa chama cha mapinduzi anachukua nafasi hii kukipongeza Chama chake Chama Cha Mapinduzi kwa kuendesha kampeni zilizofuata misingi ya demokrasia, pia nawapongeza mh Dr John P. Magufuri na mama Samia Suluhu kwa kuweza kuzunguka Tanzania nzima kuwafikia watanzania wote kila kona, Ali Shein pia kwa upande wa Zanzibar. Nachukua nafasi hii kuwakumbusha watanzania wenzangu kujitokeza kuwapigia...

 

9 years ago

MillardAyo

TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga …

Mtu wangu wa nguvu najua unashauku ya kutaka kufahamu leo December 23 kuna stori gani katika headlines za soka la Bongo. Huenda ukawa hukupata bahati ya kusoma stori za michezo za magazeti ya leo December 23. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee headlines 5 za stori za magazeti ya michezo ya Tanzania. 5- Majabvi amalizana […]

The post TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Lilipofikia dili la Mbwana Samatta kwenda Ulaya January 2016, hii ndio kauli ya meneja wake …

Usiku wa December 24 ulikuwa ni usiku ambao zilizagaa au kuvuja habari za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kutajwa kwenda kucheza soka la kulipwa katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji. Stori zilianza kama tetesi na baadae mmoja kati ya mitandao […]

The post Lilipofikia dili la Mbwana Samatta kwenda Ulaya January 2016, hii ndio kauli ya meneja wake … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani