Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzungu wa Simba ageuka ‘mbogo’

Kocha wa Simba, Dylan Kerr amesema anataka wachezaji wote wa timu hiyo wawe wamejiunga na kambi yake iliyoko hapa, la sivyo watafute timu nyingine za kuchezea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maximo ageuka ‘mbogo’

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewaweka kitimoto nyota wake huku akiwatuhumu kuwa hawakabi uwanjani na wanaridhika mapema na matokeo, jambo linalosababisha timu hiyo kuwa katika wakati mgumu kwenye mechi zao za ligi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwambusi ageuka ‘mbogo’

>Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi   amewashutumu watu waliomzushia kuwa amenunuliwa nyumba na klabu ya Azam FC, hali iliyofanya maisha yake kuwa hatarini kabla ya mchezo huo.

 

10 years ago

GPL

MAMA KANUMBA AGEUKA MBOGO

Na Mayasa Mariwata/Risasi Mchanganyiko
KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mtegoa amegeuka mbogo baada ya kuulizwa kuhusu hatima ya kikazi ya taasisi hiyo. “Muonekana wa Ofisi ya Kanumba The Great wakati ikiwa inafanya kazi. Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni haimhusu mtu yeyote, hili ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta ageuka mbogo, awashambulia wasomi

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, amejibu mapigo akiwashambulia wasomi wanaohoji uhalali wa wajumbe wa Bunge hilo kupiga kura wakiwa nje ya nchi, akisema wasomi hao wanachanganya sheria za nchi.

 

9 years ago

GPL

INYANYA AGEUKA MBOGO KISA KUTOKA NA FREDA

 Mwanamuziki kutoka Nigeria,Iyanya. IEZI kadhaa iliyopita, mfanyabiashara maarufu wa kike nchini Nigeria, Freda Francis, alionekana akiwa katika picha iliyokaa kimahaba na mwimbaji Iyanya pia wa nchini humo, ambapo kulizuka minong’ono kibao kwamba huenda watu hao walikuwa wamezama katika mahaba. Freda alipoulizwa wiki kadhaa zilizopita kuhusu hali hiyo, alisema jambo lolote analofanya… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Mzungu Simba ataka kujipima

Kocha wa Simba, Zdravok Logarusic amesema anahitaji mechi nyingi za kujipima nguvu kabla ya mzunguko wa pili wa ligi kuanza, huku akiwashangaa ‘profesheno’ wake watatu kutohudhuria mazoezi bila ya taarifa zozote.

 

9 years ago

Mwananchi

Mzungu wa Simba aanza nyodo

Kitendo cha Simba kuvunja mwiko wa kutoshinda mechi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kwa miaka minne mfululizo kimempa kiburi kocha wa timu hiyo, Dylan Kerr kwani amesema timu yake itaendelea kucheza kama ilivyocheza juzi na msimu huu wataweka rekodi nyingi za maana.

 

11 years ago

GPL

Kavumbagu: Tunamtaka huyo Mzungu wa Simba

Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu. Na Wilbert Molandi MSHAMBULIAJI wa Yanga, Didier Kavumbagu, amemwambia Kocha Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic kuwa wiki mbili ambazo Yanga wamefanya mazoezi ya pamoja, zinatosha kutoa kichapo pindi timu hizo zitakapokutana. Timu hizo zinatarajiwa kukutana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mchezo wa kirafiki uliopewa jina la Nani Mtani Jembe utakaochezwa Desemba 21, mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani