Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzungu Simba ataka kujipima

Kocha wa Simba, Zdravok Logarusic amesema anahitaji mechi nyingi za kujipima nguvu kabla ya mzunguko wa pili wa ligi kuanza, huku akiwashangaa ‘profesheno’ wake watatu kutohudhuria mazoezi bila ya taarifa zozote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Simba kujipima kwa URA leo

Simba na URA zinashuka uwanjani leo katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Mzungu wa Simba aanza nyodo

Kitendo cha Simba kuvunja mwiko wa kutoshinda mechi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kwa miaka minne mfululizo kimempa kiburi kocha wa timu hiyo, Dylan Kerr kwani amesema timu yake itaendelea kucheza kama ilivyocheza juzi na msimu huu wataweka rekodi nyingi za maana.

 

10 years ago

Mwananchi

Mzungu wa Simba ageuka ‘mbogo’

Kocha wa Simba, Dylan Kerr amesema anataka wachezaji wote wa timu hiyo wawe wamejiunga na kambi yake iliyoko hapa, la sivyo watafute timu nyingine za kuchezea.

 

11 years ago

GPL

Kavumbagu: Tunamtaka huyo Mzungu wa Simba

Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu. Na Wilbert Molandi MSHAMBULIAJI wa Yanga, Didier Kavumbagu, amemwambia Kocha Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic kuwa wiki mbili ambazo Yanga wamefanya mazoezi ya pamoja, zinatosha kutoa kichapo pindi timu hizo zitakapokutana. Timu hizo zinatarajiwa kukutana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mchezo wa kirafiki uliopewa jina la Nani Mtani Jembe utakaochezwa Desemba 21, mwaka...

 

11 years ago

GPL

Mzungu rasmi atema sita Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic. Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravok Logarusic, amemaliza kazi ya kwanza katika kusaka nyota atakaoanza nao safari ya ubingwa katika timu hiyo, ambapo tayari amefyeka nyota sita wa kikosi hicho. Akizungumza na Championi Jumatatu, Logarusic, maarufu kwa jina na Loga, amesema kazi hiyo ya kufyeka nyota hao aliyoifanya na msaidizi wake Seleman Matola, ina lengo moja kubwa katika...

 

9 years ago

Global Publishers

Mzungu Simba ampiga changa la macho Julio

Na Mohammed Mdose

SIMBA leo inacheza na Mwadui FC kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga, lakini kocha wake Dylan Kerr amesema kikosi chake kitatumia mfumo mpya ambao haijawahi kuutumia ili kuwazuga wapinzani.

Kerr raia wa Uingereza aliliambia Championi Jumamosi kuwa, ni lazima abadili mfumo kwani anakutana na Kocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye amewahi kuifundisha Simba.

“Tunacheza na kocha anayeifahamu Simba vizuri, sasa ni lazima nibadili mfumo na nitatumia mpya kabisa ambao hatujawahi...

 

9 years ago

Habarileo

Kimwaga ataka kuisaidia Simba

KIUNGO Joseph Kimwaga aliyejiunga na Simba kwa mkopo akitokea Azam FC, amekiri kuwa alikata tamaa ya kucheza mpira baada ya mambo kuwa magumu katika klabu yake ya awali.

 

9 years ago

Mtanzania

Kerr ataka uvumilivu Simba

kerr kazini simba 34NA MWALI IBRHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amewataka wachezaji wake kuwa wavumilivu kutokana na aina ya mazoezi watakayofanya watakapokuwa kambini visiwani Zanzibar kwa lengo la kuwaongezea kasi tofauti na ilivyokuwa katika mechi zilizopita.

Ikiwa kambini Simba inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kujipima nguvu kabla ya kurejea kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa Desemba 12,  mwaka huu katika Uwanja wa Uwanja wa Taifa...

 

11 years ago

GPL

Beki ataka milioni 35 asaini Simba SC

Beki wa pembeni wa Coastal Union ya Tanga, Abdi Banda. Wilbert Molandi na Said Ally
BEKI wa pembeni wa Coastal Union ya Tanga, Abdi Banda amekubali kusaini kuichezea klabu kongwe ya Simba, lakini kwa sharti moja kubwa kuwa wampatie shilingi milioni 35. Awali, beki huyo ambaye pia anaichezea timu ya taifa ya vijana yenye umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes alipendekezwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani