Mzungu Simba ampiga changa la macho Julio
Na Mohammed Mdose
SIMBA leo inacheza na Mwadui FC kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga, lakini kocha wake Dylan Kerr amesema kikosi chake kitatumia mfumo mpya ambao haijawahi kuutumia ili kuwazuga wapinzani.
Kerr raia wa Uingereza aliliambia Championi Jumamosi kuwa, ni lazima abadili mfumo kwani anakutana na Kocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye amewahi kuifundisha Simba.
“Tunacheza na kocha anayeifahamu Simba vizuri, sasa ni lazima nibadili mfumo na nitatumia mpya kabisa ambao hatujawahi...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Jan
CUF: Ahadi ya JK ‘changa la macho’
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Eneo changamani changa la macho?
10 years ago
Mwananchi01 Dec
‘Changa la macho’ hadi kwa wachezaji!
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Lema: Kinana amepigwa changa la macho Arusha
10 years ago
Mwananchi04 May
KUSHUKA KWA SHILINGI: Bajeti hii ‘changa la macho’ - Wataalamu
9 years ago
Habarileo23 Dec
Simba haichomoki -Julio
KOCHA wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ amesema Simba haitapata nafasi ya kutamba mbele yao katika mchezo ujao kwa kuwa wamejipanga kutoa kipigo kikali.
9 years ago
Habarileo28 Dec
Simba wa kawaida sana - Julio
SARE ya bao 1-1 iliyopata timu ya Mwadui FC dhidi ya Simba imemkera kocha wake Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye amesema Simba ni timu ya kawaida hivyo haikustahili sare. Kocha huyo ambaye aliwahi kuifundisha Simba alisema kuwa anaiona timu hiyo kuwa ni timu ya kawaida kwake kwa kuwa kwa sasa haina kabisa uwezo wa kucheza.
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Julio naye aibuka Simba
WAKATI mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea uongozi katika Klabu ya Simba ukifungwa jana, aliyekuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, ameibuka na kujitosa kuwania nafasi...