Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lema: Kinana amepigwa changa la macho Arusha

>Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuwapokea viongozi wawili akisema wanatoka Chadema na kumtuhumu Mbunge wa Arusha, Godbless Lema kuwa anatumia madaraka yake kujinufaisha na mali za umma, mbunge huyo amejibu akisema: “Kinana amepigwa changa la macho.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

CUF: Ahadi ya JK ‘changa la macho’

Chama cha Wananchi (CUF) kimekosoa ahadi ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kuanza kutoa elimu bure nchi nzima kuwa ni propaganda za kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Mwananchi

Eneo changamani changa la macho?

Mwezi Julai mwaka jana, Serikali ya China iliikabidhi rasmi Serikali ya Tanzania Uwanja wa Taifa uliopo Dar es Salaam, ambao umejengwa kwa ubia kati ya Serikali hizo mbili.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Changa la macho’ hadi kwa wachezaji!

Nakumbukuka sehemu ya hotuba moja ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alisema kuna zuzu kauziwa almasi feki halafu anaondoka, alikuwa na almasi akadanganywa akaambiwa, almasi siyo hii, almasi ni hii. Kumbe ni chupa.

 

9 years ago

Global Publishers

Mzungu Simba ampiga changa la macho Julio

Na Mohammed Mdose

SIMBA leo inacheza na Mwadui FC kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga, lakini kocha wake Dylan Kerr amesema kikosi chake kitatumia mfumo mpya ambao haijawahi kuutumia ili kuwazuga wapinzani.

Kerr raia wa Uingereza aliliambia Championi Jumamosi kuwa, ni lazima abadili mfumo kwani anakutana na Kocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye amewahi kuifundisha Simba.

“Tunacheza na kocha anayeifahamu Simba vizuri, sasa ni lazima nibadili mfumo na nitatumia mpya kabisa ambao hatujawahi...

 

10 years ago

Mwananchi

KUSHUKA KWA SHILINGI: Bajeti hii ‘changa la macho’ - Wataalamu

>Kuendelea kuporomoka kwa thamani ya shilingi kumeifanya bajeti ya mwaka jana kuonekana kubwa ikilinganishwa na ya Bajeti ijayo endapo makadirio yake yatawekwa katika dola ya Marekani.

 

10 years ago

Daily News

Arusha demo wants Lema out


Arusha demo wants Lema out
Daily News
MORE than 1,000 youths have demonstrated against Arusha Urban Member of Parliament Godbless Lema's intention to defend his parliamentary seat in the coming general elections, describing him as “the mastermind behind all the life-costing bedlams in ...

 

10 years ago

TheCitizen

Lema is our choice for Arusha, says Chadema

Chadema has defended Arusha Urban Member of Parliament God bless Lema, saying the main opposition party still needed the lawmaker for another five-year tenure.

 

11 years ago

Mwananchi

RC Arusha anusuru mikutano ya Lema

Hatimaye Jeshi la Polisi wilayani Arusha limeruhusu mikutano ya hadhara ya Mbunge wa Arusha (Chadema), Godbless Lema baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo kuingilia kati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani