Simba wa kawaida sana - Julio
SARE ya bao 1-1 iliyopata timu ya Mwadui FC dhidi ya Simba imemkera kocha wake Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye amesema Simba ni timu ya kawaida hivyo haikustahili sare. Kocha huyo ambaye aliwahi kuifundisha Simba alisema kuwa anaiona timu hiyo kuwa ni timu ya kawaida kwake kwa kuwa kwa sasa haina kabisa uwezo wa kucheza.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo23 Dec
Simba haichomoki -Julio
KOCHA wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ amesema Simba haitapata nafasi ya kutamba mbele yao katika mchezo ujao kwa kuwa wamejipanga kutoa kipigo kikali.
9 years ago
Habarileo26 Aug
Julio aitabiria mabaya Simba
KOCHA Mkuu wa Mwadui FC ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema Simba itapata tabu katika msimu mpya wa Ligi Kuu kwa kitendo chake cha kusajili kwa kukurupuka.
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Julio naye aibuka Simba
WAKATI mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea uongozi katika Klabu ya Simba ukifungwa jana, aliyekuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, ameibuka na kujitosa kuwania nafasi...
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Mzungu Simba ampiga changa la macho Julio
Na Mohammed Mdose
SIMBA leo inacheza na Mwadui FC kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga, lakini kocha wake Dylan Kerr amesema kikosi chake kitatumia mfumo mpya ambao haijawahi kuutumia ili kuwazuga wapinzani.
Kerr raia wa Uingereza aliliambia Championi Jumamosi kuwa, ni lazima abadili mfumo kwani anakutana na Kocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye amewahi kuifundisha Simba.
“Tunacheza na kocha anayeifahamu Simba vizuri, sasa ni lazima nibadili mfumo na nitatumia mpya kabisa ambao hatujawahi...
9 years ago
Habarileo19 Sep
Julio: Simba, Yanga Azam hao ndio nani?
TIMU ya Mwadui FC imesema haiziogopi timu za Azam, Simba wala Yanga kwani imejipanga kuhakikisha inapambana nazo kuondoka na ushindi.
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
Lowassa: Hali isiyo ya kawaida huibua hatua zisizo za kawaida
WIKI iliyopita niliandika kusema kwamba Edward Lowassa kuhama kutoka chama kilichomlea ilikuwa ni
Jenerali Ulimwengu
9 years ago
StarTV25 Aug
Tazama taswira za mechi ya kirafiki kati ya Simba na Mwadui ya Julio
9 years ago
Mtanzania25 Aug
‘Niang bado sana Simba’
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
INATIA shaka! Ndivyo unavyoweza kuielezea hatima ya mshambuliaji Msenegali, Papa Niang kusajiliwa na timu ya Simba, kufuatia kuonyesha kiwango kisichoridhisha kwenye mchezo wake wa kwanza ndani ya timu hiyo dhidi ya Mwadui katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.
Niang aliyewasili nchini Ijumaa iliyopita kusaka ulaji wa kusajiliwa na Simba inayosaka straika hatari wa kufumania nyavu, alicheza kwa dakika 45 tu za kwanza za mchezo huo kabla ya kutolewa kipindi...
10 years ago
Vijimambo08 Dec
Simba laini sana kwa Mtibwa
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/mecky-mexime-nipashe-December8-2014.jpg)
Simba imejikuta ikifunzwa soka na Mtibwa Sugar baada ya jana kukubali kichapo cha mabao 4-2 katika mchezo wa kirafiki uliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam, hiyo ikiwa ni mechi ya kwanza kwa Kikosi A cha Simba kucheza kwenye uwanja huo tangu ujengwe miaka minne iliyopita.
Wenyeji Simba walifungua mlango wa mabao dakika 23 kiungo Said Ndemla alipokifungia Kikosi cha...