Julio naye aibuka Simba
WAKATI mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea uongozi katika Klabu ya Simba ukifungwa jana, aliyekuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, ameibuka na kujitosa kuwania nafasi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies13 Oct
Kuelekea Uchaguzi, Nora Naye Aibuka na Haya
Nguo zisiwazingue "hii team Lowasa changes lazima" hii nchi inataka maendeleo yanayoonekana sio yakusadikika tumewapa miaka yooote bado mnaona Watanzania mazumbukuku mnaongea mpaka mapovu ya mdomo yanawatoka utendaji zerooo hivi mnataka kusema mtu mmoja ndo ataweza kufanya kazi peke yake, team yake si ile ile wakwendreeee, Lowasa gooooo Lowasa goooo new presedent.
Mafisi nkwendreee waroho wakubwa mkiwa madarakani mnaona Tanzania ni kimji kidoooogo mnachoweza kufanya lolote kwenye uchaguzi...
9 years ago
Habarileo23 Dec
Simba haichomoki -Julio
KOCHA wa Mwadui FC Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ amesema Simba haitapata nafasi ya kutamba mbele yao katika mchezo ujao kwa kuwa wamejipanga kutoa kipigo kikali.
10 years ago
Vijimambo17 Sep
MCHUNGAJI MTIKILA AIBUKA NA KIHOJA HIKI LEO,NAYE AUNGANA NA LIPUMBA NA SLAA KUIMBA WIMBO WA LOWASSA,SOMA HAPO KUJUA
NA KAROLI VINSENTMWENYEKITI wa cha Democratic Party (DP), Christopher Mtikila ameibuka na kihoja pale alipowataka Watanzania siku ya kupiga kura tarehe 25 octoba mwaka huu kutoipigia kura kipengele cha Urais na wataka watanzaniakuwachagua wabunge na Madiwani peke yake,kwakuwa wagombea wote wa urais waliosiamishwa kwenye vyama vayo hawana uwezo wa kuliongoza taifa hili.Kauli ya hiyo ya Mchangaji Mtikila ameitoa leo Jijini Dar es Saalam wakati wa mkutano na waandishi wa Habari ambapo...
10 years ago
Habarileo26 Aug
Julio aitabiria mabaya Simba
KOCHA Mkuu wa Mwadui FC ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema Simba itapata tabu katika msimu mpya wa Ligi Kuu kwa kitendo chake cha kusajili kwa kukurupuka.
9 years ago
Habarileo28 Dec
Simba wa kawaida sana - Julio
SARE ya bao 1-1 iliyopata timu ya Mwadui FC dhidi ya Simba imemkera kocha wake Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye amesema Simba ni timu ya kawaida hivyo haikustahili sare. Kocha huyo ambaye aliwahi kuifundisha Simba alisema kuwa anaiona timu hiyo kuwa ni timu ya kawaida kwake kwa kuwa kwa sasa haina kabisa uwezo wa kucheza.
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Mzungu Simba ampiga changa la macho Julio
Na Mohammed Mdose
SIMBA leo inacheza na Mwadui FC kwenye Uwanja wa Kambarage Shinyanga, lakini kocha wake Dylan Kerr amesema kikosi chake kitatumia mfumo mpya ambao haijawahi kuutumia ili kuwazuga wapinzani.
Kerr raia wa Uingereza aliliambia Championi Jumamosi kuwa, ni lazima abadili mfumo kwani anakutana na Kocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye amewahi kuifundisha Simba.
“Tunacheza na kocha anayeifahamu Simba vizuri, sasa ni lazima nibadili mfumo na nitatumia mpya kabisa ambao hatujawahi...
10 years ago
Habarileo19 Sep
Julio: Simba, Yanga Azam hao ndio nani?
TIMU ya Mwadui FC imesema haiziogopi timu za Azam, Simba wala Yanga kwani imejipanga kuhakikisha inapambana nazo kuondoka na ushindi.
10 years ago
StarTV25 Aug
Tazama taswira za mechi ya kirafiki kati ya Simba na Mwadui ya Julio
11 years ago
Dewji Blog15 Oct
Kaduguda wa Simba aibuka tena
Na Mwandishi wetu
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa klabu ya Simba, Mwina Kaduguda ‘Simba wa Yuda,’(pichani) ameamua kuvunja ukinywa kwa kusema kuwa, Simba kwa sasa haihitaji matajiri, bali yenyewe ni tajiri kiasi cha kutosha kuweza kujiendesha.
Kwa mujibu wa Kaduguda, haoni haja ya matajiri ndani ya Simba, ambao wakikumaliza muda wao, Simba inabaki masikini huku akitamba kuwa, katika uongozi wake aliisaidia klabu hiyo kuwa na wadhamini wa kudumu kama Kilimanjaro Premium Lager na wengineo.
“Unajua...