Kaduguda wa Simba aibuka tena
Na Mwandishi wetu
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa klabu ya Simba, Mwina Kaduguda ‘Simba wa Yuda,’(pichani) ameamua kuvunja ukinywa kwa kusema kuwa, Simba kwa sasa haihitaji matajiri, bali yenyewe ni tajiri kiasi cha kutosha kuweza kujiendesha.
Kwa mujibu wa Kaduguda, haoni haja ya matajiri ndani ya Simba, ambao wakikumaliza muda wao, Simba inabaki masikini huku akitamba kuwa, katika uongozi wake aliisaidia klabu hiyo kuwa na wadhamini wa kudumu kama Kilimanjaro Premium Lager na wengineo.
“Unajua...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Kaduguda ‘apasuka’ suala la Mo Simba
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa zamani wa klabu ya Simba, Mwina Kaduguda, ameeleza kuwa klabu hiyo kwa sasa haihitaji mtu mwenye fedha ili kuimiliki badala yake inahitaji mwenye uwezo wa kufikiri na kutumia fursa ya rasilimali zilizopo ndani ya klabu hiyo ili kupata fedha.
Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa mjadala mkali uliokuwa ukimhusu mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji ‘Mo’, kutaka kuwekeza Sh bilioni 20 katika klabu hiyo.
Akizungumza katika kituo kimoja cha...
11 years ago
MichuziKITABU CHA "HISTORIA YA KLABU YA SIMBA"KILICHOANDIKWA NA MWINA KADUGUDA CHAZINDULIWA RASMI LEO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi64CjaLLu5AYOEAjX8lEY8jkqNz8WvqsJAEzyHdWuoS7taoO9uaqIVYPquShu1emlNBZodyPc-cRewb*KLNA4CmR/Mara.gif?width=650)
MDUNGUAJI MARA AIBUKA TENA!
11 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA, NA MICHEZO AZINDUA RASMI KITABU CHA "HISTORIA YA KLABU YA SIMBA" KILICHOANDIKWA NA MWINA KADUGUDA
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Julio naye aibuka Simba
WAKATI mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea uongozi katika Klabu ya Simba ukifungwa jana, aliyekuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, ameibuka na kujitosa kuwania nafasi...
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Wambura, Kaduguda ndani uchaguzi Taswa
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Kocha Kopunovic tena Simba
Mserbia, Goran Kopunovic.
Hans Mloli,
Dar es Salaam
UNAWEZA kuona kama ni utani lakini ndiyo hali halisi ilivyo, Klabu ya Simba imeamua kufanya mazungumzo na aliyekuwa kocha wao, Mserbia, Goran Kopunovic.
Ishu ya kuanza mazungumzo na kocha huyo iliibuka wakati wa mchakato wa awali ulipoanza wa kumtafuta kocha msaidizi wa timu hiyo ambaye mpaka sasa bado hajapatikana baada ya kocha mkuu wa wekundu hao, Dylan Kerr kuchomoa ujio wa Mganda, Moses Basena.
Habari ikufikie kuwa Kopunovic...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*rwcQDa6LWN*bxHJ1W9pKSfEVEDJrQsUUdJfoixJ8YRJDe78CRj3Rav8hz9uF2CUSJa567D22SVzw9h57oKmSQv/wambura.jpg?width=600)
Wambura basi tena Simba