Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaduguda ‘apasuka’ suala la Mo Simba

kadugudaNA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

KATIBU Mkuu wa zamani wa klabu ya Simba, Mwina Kaduguda, ameeleza kuwa klabu hiyo kwa sasa haihitaji mtu mwenye fedha ili kuimiliki badala yake inahitaji mwenye uwezo wa kufikiri na kutumia fursa ya rasilimali zilizopo ndani ya klabu hiyo ili kupata fedha.

Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa mjadala mkali uliokuwa ukimhusu mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji ‘Mo’, kutaka kuwekeza Sh bilioni 20 katika klabu hiyo.

Akizungumza katika kituo kimoja cha...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kaduguda wa Simba aibuka tena

kaduguda na hati ya kiwanmja

Na Mwandishi wetu

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa klabu ya Simba, Mwina Kaduguda ‘Simba wa Yuda,’(pichani) ameamua kuvunja ukinywa kwa kusema kuwa, Simba kwa sasa haihitaji matajiri, bali yenyewe ni tajiri kiasi cha kutosha kuweza kujiendesha.

Kwa mujibu wa Kaduguda, haoni haja ya matajiri ndani ya Simba, ambao wakikumaliza muda wao, Simba inabaki masikini huku akitamba kuwa, katika uongozi wake aliisaidia klabu hiyo kuwa na wadhamini wa kudumu kama Kilimanjaro Premium Lager na wengineo.

“Unajua...

 

11 years ago

Michuzi

KITABU CHA "HISTORIA YA KLABU YA SIMBA"KILICHOANDIKWA NA MWINA KADUGUDA CHAZINDULIWA RASMI LEO

 Mwina Kaduguda Mtunzi wa kitabu cha "HISTORIA YA SIMBA" akielezea kwa kina Magumu gani amepitia wakati anaanza kuandaa kitabu hicho,Wa kwanza Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia na Katikati ni Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota Bwana Mkuki Bgoya ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.Akielezea kwa ufupi Mwina Kaduguda amesema kwamba Dhumuni kubwa la Kutunga kitabu hicho ni kutaka kutunza historia ya soka ya Timu hiyo isipoteee ili...

 

11 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA, NA MICHEZO AZINDUA RASMI KITABU CHA "HISTORIA YA KLABU YA SIMBA" KILICHOANDIKWA NA MWINA KADUGUDA‏

 Mwina Kaduguda Mtunzi wa kitabu cha "HISTORIA YA SIMBA" akielezea kwa kina Magumu gani amepitia wakati anaanza kuandaa kitabu hicho,Wa kwanza Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia na Katikati ni Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota Bwana Mkuki Bgoya ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.Akielezea kwa ufupi Mwina Kaduguda amesema kwamba Dhumuni kubwa la Kutunga kitabu hicho...

 

10 years ago

GPL

SUALA LA OKWI KUSAINI SIMBA, MANJI ACHARUKA

Manji akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakisikiliza kwa makini.…

 

11 years ago

Mwananchi

Wambura, Kaduguda ndani uchaguzi Taswa

>Kamati ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa), kimemteua Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura na katibu mkuu wa zamani wa Simba, Mwina Kaduguda Kamati ya Kusimamia Uchaguzi Mkuu wa  Taswa Februari 16.

 

9 years ago

BBCSwahili

EU, Uturuki zakubaliana suala wakimbizi

Umoja wa ulaya na uturuki wafikia makubaliano ya jinsi ya kuchukua hatua ili kuondokana na mafuriko ya wakimbizi na wahamiaji ndani ya bara la Ulaya.

 

10 years ago

Mtanzania

Raza aibukia suala la Escrow

Na Patricia Kimelemeta

MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi na Mbunge wa Uzini, Zanzibar, Mohamed Raza, amesema ataishauri Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUKI), kuwaandikia barua wahisani ili kuwaeleza namna sakata la Tegeta Escrow lisivyowahusu Wazanzibari.
Alisema amefikia uamuzi huo ili kushawishi wahisani waendelee kutoa misaada yao kama kawaida.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Raza alisema sakata hilo limewaathiri wananchi wa Zanzibar kutokana na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Suala la wakimbizi litatuliwe kipekee

Federica Mogherini ametahadharisha kwamba tatizo la uhamiaji ni kubwa na linahitaji utatuzi wa kipekee.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu: Tusijadili suala la Zitto

Lushoto, Korogwe, Muheza na Tanga MWANASHERIA Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu, amewataka Watanzania, hususan wanachama wa chama hicho kutopoteza muda kujadili suala la baadhi ya wanachama waliopatikana na makosa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani