Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wambura, Kaduguda ndani uchaguzi Taswa

>Kamati ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa), kimemteua Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura na katibu mkuu wa zamani wa Simba, Mwina Kaduguda Kamati ya Kusimamia Uchaguzi Mkuu wa  Taswa Februari 16.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

AllAfrica.Com

Wambura Leads Taswa Statutes Team


Wambura Leads Taswa Statutes Team
AllAfrica.com
TANZANIA Sports Writers Association (TASWA) Executive Committee has appointed former Chairman Boniface Wambura as head of the association's Constitution Reform Committee. TASWA Secretary General Amir Mhando said in Dar es Salaam on ...

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI TASWA: 27 WAREJESHA FOMU UCHAGUZI TASWA

Waombaji 27 kati ya 28 wamerejesha fomu kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) utakaofanyika Machi 2, 2014 jijini Dar es Salaam.
Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu hizo ilikuwa leo Alhamisi (Februari 27 mwaka huu) saa 9 alasiri.
Waliorejesha kwa nafasi ya ujumbe ni Aron Benedict Mpanduka, Elizabeth Rashid Mayemba, Emmanuel Augustino Muga, Hassan Maulid Bumbuli, Ibrahim Mkomwa...

 

11 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI SIMBA: Wambura: Sasa imetosha basi

>Siku moja baada ya kuenguliwa kwa mara ya sita kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Simba, Michael Wambura, amesema: “Imetosha, yatosha, sina cha kusema.”

 

11 years ago

Michuzi

Michael Richard Wambura aenguliwa Uchaguzi mkuu wa Simba SC


Na Mahmoud Zubeiry KAMA ilivyotarajiwa, Michael Richard Wambura (pichani) ameenguliwa katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi mkuu wa Simba SC unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao, kwa sababu kubwa mbili.Akizungumza katika Mkutano maalum na Waandishi wa Habari mchana huu makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), makutano ya mitaa ya Ohio na Libya, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Simba SC, Wakili Dk Damas Daniel Ndumbaro amesema Wambura ameondolewa kwa sababu kwa sasa si...

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI TASWA WASOGEZWA MBELE

UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), uliokuwa umepangwa kufanyika Februari 16 umesogezwa mbele kwa wiki mbili na sasa utafanyika Machi 2, mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Uamuzi wa kusogeza mbele tarehe ya kufanyika uchaguzi huo imechukuliwa na Sekretarieti ya TASWA kutokana na sababu mbalimbali, lakini kubwa ni kutoa nafasi kwa wanachama wengi zaidi kulipia ada zao kwa ajili ya kushiriki mkutano huo wa uchaguzi.
Hadi kufikia leo mchana idadi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kumekucha uchaguzi mkuu TASWA

UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), unatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam Februari 16 mwaka huu jijini Dar es Salaam huku Ofisa Habari wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani