Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michael Richard Wambura aenguliwa Uchaguzi mkuu wa Simba SC


Na Mahmoud Zubeiry KAMA ilivyotarajiwa, Michael Richard Wambura (pichani) ameenguliwa katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi mkuu wa Simba SC unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao, kwa sababu kubwa mbili.Akizungumza katika Mkutano maalum na Waandishi wa Habari mchana huu makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), makutano ya mitaa ya Ohio na Libya, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Simba SC, Wakili Dk Damas Daniel Ndumbaro amesema Wambura ameondolewa kwa sababu kwa sasa si...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: MICHAEL WAMBURA AONDOLEWA TENA UCHAGUZI MKUU SIMBA

 Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Klabu ya Simba SC,Wakili Damas Ndumbaro akitoa tamko la kumuondoa kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Simba SC,Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti,Michael Richard Wambura kwa kosa la kufanya kampeni kinyume na kanuni na sheria za Uchaguzi za TFF.Ndumbaro ameyasema hayo leo wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari,ambapo amesema kuwa wamefikia uamuzi huo baada ya Kamati yake kukaa na kujadiliana mambo mbali mbali kuhusu Uchaguzi huo Mkuu...

 

11 years ago

Michuzi

RUFANI YA RICHARD MICHAEL WAMBURA YAKWAMA TFF

Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeikataa rufani ya  Michael Richard Wambura (pichani) kupinga kuenguliwa kugombea urais katika uchaguzi wa klabu ya Simba unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu.

Wambura aliwasilisha rufani yake mbele ya Kamati hiyo iliyokutana leo (Juni 19 mwaka huu) jijini Dar es Salaam chini ya Kaimu Mwenyekiti Wakili Mwita Waissaka kupinga uamuzi wa kumwengua katika kinyang’anyiro hicho uliofanywa na Kamati ya Uchaguzi ya...

 

11 years ago

Michuzi

RUFANI YA MICHAEL WAMBURA KUGOMBEA URAIS SIMBA SC

Uamuzi kuhusu rufani ya Michael Wambura kupinga kuenguliwa kugombea urais wa Rais utatangazwa kesho (Juni 11 mwaka huu) saa 6 kamili mchana na Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Julius Lugaziya.

 

11 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI SIMBA: Wambura: Sasa imetosha basi

>Siku moja baada ya kuenguliwa kwa mara ya sita kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Simba, Michael Wambura, amesema: “Imetosha, yatosha, sina cha kusema.”

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchaguzi Mkuu Simba Juni 29

KAMATI ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba imetangaza kuanza kutoa fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kesho, tayari kwa uchaguzi utakaofanyika Juni 29 jijini Dar es Salaam. Serikali ilipitisha...

 

11 years ago

GPL

UCHAGUZI MKUU WA SIMBA SC WAFANYIKA

Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti Simba SC, Evance Aveva akiongea na wanachama wakati wa uchaguzi mkuu wa klabu hiyo unaofanyika katika bwalo la polisi, Oysterbay, Dar. Wanachama wa Simba wakipiga kura kuwachagua viongozi wao.…

 

11 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI MKUU SIMBA: Aveva apata ushindi wa kimbunga

>Evans Aveva ameula baada ya kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa klabu ya Simba katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Bwalo la Polisi, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani