UCHAGUZI TASWA: 27 WAREJESHA FOMU UCHAGUZI TASWA

Waombaji 27 kati ya 28 wamerejesha fomu kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) utakaofanyika Machi 2, 2014 jijini Dar es Salaam.
Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu hizo ilikuwa leo Alhamisi (Februari 27 mwaka huu) saa 9 alasiri.
Waliorejesha kwa nafasi ya ujumbe ni Aron Benedict Mpanduka, Elizabeth Rashid Mayemba, Emmanuel Augustino Muga, Hassan Maulid Bumbuli, Ibrahim Mkomwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
FOMU ZA UCHAGUZI TASWA ZAANZA KUTOLEWA

Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu hizo zinazotolewa Idara ya Habari (Maelezo) ni Alhamisi (Februari 27 mwaka huu) saa 9 alasiri.
Ada kwa wagombea wa nafasi za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Katibu Msaidizi, Mhazini na Mhazini Msaidizi ni sh. 50,000 kwa...
11 years ago
Mwananchi19 Feb
Wagombea wanne warejesha fomu za uchaguzi Kalenga
11 years ago
Michuzi
UCHAGUZI TASWA WASOGEZWA MBELE

Uamuzi wa kusogeza mbele tarehe ya kufanyika uchaguzi huo imechukuliwa na Sekretarieti ya TASWA kutokana na sababu mbalimbali, lakini kubwa ni kutoa nafasi kwa wanachama wengi zaidi kulipia ada zao kwa ajili ya kushiriki mkutano huo wa uchaguzi.
Hadi kufikia leo mchana idadi ya...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Kumekucha uchaguzi mkuu TASWA
UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), unatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam Februari 16 mwaka huu jijini Dar es Salaam huku Ofisa Habari wa...
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Wambura, Kaduguda ndani uchaguzi Taswa
10 years ago
Habarileo07 Aug
Taswa kujadili uchaguzi mkuu leo
KAMATI ya Utendaji ya chama cha waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA) leo itakutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu chama hicho.