Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FOMU ZA UCHAGUZI TASWA ZAANZA KUTOLEWA

Fomu za wagombea kwa ajili ya uchaguzi wa Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) utakaofanyika Machi 2, 2014 jijini Dar es Salaam zimeanza kutolewa leo (Februari 24 mwaka huu).
Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu hizo zinazotolewa Idara ya Habari (Maelezo) ni Alhamisi (Februari 27 mwaka huu) saa 9 alasiri.
Ada kwa wagombea wa nafasi za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Katibu Msaidizi, Mhazini na Mhazini Msaidizi ni sh. 50,000 kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

FOMU ZA USPIKA ZAANZA KUTOLEWA


Fomu Za Kuomba Uspika Na Naibu - 11.11.2015

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI TASWA: 27 WAREJESHA FOMU UCHAGUZI TASWA

Waombaji 27 kati ya 28 wamerejesha fomu kuomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) utakaofanyika Machi 2, 2014 jijini Dar es Salaam.
Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu hizo ilikuwa leo Alhamisi (Februari 27 mwaka huu) saa 9 alasiri.
Waliorejesha kwa nafasi ya ujumbe ni Aron Benedict Mpanduka, Elizabeth Rashid Mayemba, Emmanuel Augustino Muga, Hassan Maulid Bumbuli, Ibrahim Mkomwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fomu uchaguzi CHADEMA Moro kutolewa leo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani hapa, kimetangaza kuanza kutoa fomu leo kwa wanachama wanaotaka kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika ngazi ya wilaya na jimbo huku kikitahadharisha vitendo...

 

11 years ago

Michuzi

Shaffih Dauda achukua fomu kuwania nafasi ya Uenyekiti TASWA

Pichani ni Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar),ambaye ametangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za MichezoTASWA.  Mwandishi wa kujitegemea Bw. Hussein Omary Kushoto akilipa fedha  tayari kwa kuchukua fomu ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa niaba ya Bw. Shaffih Dauda ambaye anawania nafasi hiyo ya Uenyekiti, kulia ni Afisa Habari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampeni uchaguzi Simba zaanza

KAMATI ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba, jana imetangaza orodha ya mwisho ya majina ya wagombea ambao wameruhusiwa kuanza kampeni za kunadi sera zao kwa wanachama kuelekea uchaguzi mkuu wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kampeini za uchaguzi zaanza Uingereza

Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Uingereza zimeanza rasmi kinyanganyiro kikitarajiwa kuchacha baina ya David Cameron na Ed Miliband

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani