Wagombea wanne warejesha fomu za uchaguzi Kalenga
Wagombea wanne wa Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Vyama vya CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi na Causta jana wamerejesha fomu za kuwania kiti cha ubunge wa jimbo hilo baada ya kukamilisha taratibu za kujaza fomu, huku wale wa CCM na Chadema wakitoa ujumbe mzito wa kuwataka wafuasi wa vyama vyao kutojihusisha na vurugu wakati wa kampeni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-O_xmsjyUCvY/Uw9Y-dgDSvI/AAAAAAAFQCc/AP1Cxx5fYD4/s72-c/TASWALOGO.jpg)
UCHAGUZI TASWA: 27 WAREJESHA FOMU UCHAGUZI TASWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-O_xmsjyUCvY/Uw9Y-dgDSvI/AAAAAAAFQCc/AP1Cxx5fYD4/s1600/TASWALOGO.jpg)
Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu hizo ilikuwa leo Alhamisi (Februari 27 mwaka huu) saa 9 alasiri.
Waliorejesha kwa nafasi ya ujumbe ni Aron Benedict Mpanduka, Elizabeth Rashid Mayemba, Emmanuel Augustino Muga, Hassan Maulid Bumbuli, Ibrahim Mkomwa...
9 years ago
Dewji Blog16 Aug
Chama cha UPDP chasimamisha wagombea wanne kwenye uchaguzi ujao Singida
Mgombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa, (kulia), akipokea mkoba wenye fomu za uteuzi wa kuwania .Urais kupitia chama chake hicho uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu. Tayari chama hicho kimeweka wazi kuwa kinasimamisha wagombea wanne katika baadhi ya majimbo ya ndani ya Mkoa wa Singida katika kinyang’anyiro hicho. (Picha na Maktaba ya modewjiblog).
Na, Jumbe Ismailly
(SINGIDA)- Chama cha UNITED PEOPLES DEMOCRATIC...
10 years ago
Habarileo01 Jul
Warejesha fomu watema cheche
MAKADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamerejesha fomu na kufafanua mambo kadhaa ambayo yamekuwa yanazungumzwa juu yao kama njia ya kujiweka sawa kabla ya uteuzi kufanywa na vikao vikuu vya chama hicho.
9 years ago
Mtanzania22 Aug
Wagombea wanne wapitishwa urais
Aziza Masoud na Grace Shitundu, Dar es Salaam
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeteua wagombea urais wanane kati ya 13 waliochukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.
Idadi hiyo inataka kufanana na ile ya mwaka 2010 ambapo Tume hiyo iliteua wagombea saba kuwania nafasi hiyo.
Wagombea waliokidhi vigezo na kuteuliwa na NEC ni pamoja na Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-auPsqvIuirU/UyLBfvVzoaI/AAAAAAAFTe0/yyaMarrlRHs/s72-c/IMG_8915.jpg)
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-auPsqvIuirU/UyLBfvVzoaI/AAAAAAAFTe0/yyaMarrlRHs/s1600/IMG_8915.jpg)
9 years ago
Habarileo19 Oct
Wagombea urais wanne wasisitiza amani, umoja
WAGOMBEA wanne wa urais wamesisitiza amani na umoja wa Tanzania, huku wakielezea kuwa baadhi ya viongozi wamekuwa chanzo cha kuibuka kwa viashiria vya ubaguzi wa kidini, ukanda na ukabila.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-JjECQPGFvRg/VZY5eaMO9XI/AAAAAAABRGU/WcOL6RBAtbg/s72-c/rajab%2Bluhaja.jpg)
WANNE WASHINDWA KURUDISHA FOMU ZA URAIS CCM
![](http://2.bp.blogspot.com/-JjECQPGFvRg/VZY5eaMO9XI/AAAAAAABRGU/WcOL6RBAtbg/s640/rajab%2Bluhaja.jpg)
Hatimaye zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa makada wa chama cha mapinduzi ccm wanaowania kuchaguliwa kugombea urais limemalizika ambapo makada 38 wamerudisha fomu baada ya kutimiza masharti ya kutafuta wadhamini,
Hatiamaye zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa makada wa chama cha mapinduzi ccm wanaowania kuchaguliwa kugombea urais limemalizika ambapo makada 38 wamerudisha fomu baada ya kutimiza masharti ya kutafuta wadhamini, huku...