UCHAGUZI TASWA WASOGEZWA MBELE
UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), uliokuwa umepangwa kufanyika Februari 16 umesogezwa mbele kwa wiki mbili na sasa utafanyika Machi 2, mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Uamuzi wa kusogeza mbele tarehe ya kufanyika uchaguzi huo imechukuliwa na Sekretarieti ya TASWA kutokana na sababu mbalimbali, lakini kubwa ni kutoa nafasi kwa wanachama wengi zaidi kulipia ada zao kwa ajili ya kushiriki mkutano huo wa uchaguzi.
Hadi kufikia leo mchana idadi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Feb
Mkutano wa mawaziri Kenya, Tanzania wasogezwa mbele
MKUTANO kati ya Kenya na Tanzania uliokuwa uwakutanishe mawaziri wa nchi hizo, wanaoshughulikia masuala ya utalii umeahirishwa, kutokana na baadhi ya mawaziri wapya wa Tanzania kuomba kushiriki mkutano huo.
9 years ago
MichuziMUDA WA KUONDOKA TRENI YA DELUXE KWENDA MWANZA JUMAPILI OKTOBA 25, 2015 WASOGEZWA MBELE
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (PRESS RELEASE) Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL unachukua fursa hii kuwaarifu abiria wa treni ya deluxe ya Jumapili Oktoba 25, 2015 kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kuwa muda wa kuondoka umesogezwa mbele kutoka saa 2 asubuhi hadi saa 2 usiku wa siku hiyohiyo.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo uamuzi huo umechukuliwa maalum ili kuwapa fursa Abiria waliojiandikisha kupiga kura kutumia haki yao ya kikatiba kikamilifu.
Utaratibu huu...
10 years ago
MichuziMUDA WA KUJISAJILI KWENDA HIJJA WASOGEZWA MBELE TOKA JUNI 15 HADI AGOSTI 25, 2015
Na Dotto Mwaibale
MAHUJAJI nchini wametakiwa kujitokeza kujisajili katika taasisi zilizosajiliwa kisheria ili kujiandaa kwenda...
11 years ago
MichuziUCHAGUZI TASWA: 27 WAREJESHA FOMU UCHAGUZI TASWA
Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu hizo ilikuwa leo Alhamisi (Februari 27 mwaka huu) saa 9 alasiri.
Waliorejesha kwa nafasi ya ujumbe ni Aron Benedict Mpanduka, Elizabeth Rashid Mayemba, Emmanuel Augustino Muga, Hassan Maulid Bumbuli, Ibrahim Mkomwa...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Kumekucha uchaguzi mkuu TASWA
UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), unatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam Februari 16 mwaka huu jijini Dar es Salaam huku Ofisa Habari wa...
10 years ago
Habarileo07 Aug
Taswa kujadili uchaguzi mkuu leo
KAMATI ya Utendaji ya chama cha waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA) leo itakutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu chama hicho.
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Wambura, Kaduguda ndani uchaguzi Taswa