Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano wa mawaziri Kenya, Tanzania wasogezwa mbele

Lazaro Nyalandu.MKUTANO kati ya Kenya na Tanzania uliokuwa uwakutanishe mawaziri wa nchi hizo, wanaoshughulikia masuala ya utalii umeahirishwa, kutokana na baadhi ya mawaziri wapya wa Tanzania kuomba kushiriki mkutano huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI TASWA WASOGEZWA MBELE

UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), uliokuwa umepangwa kufanyika Februari 16 umesogezwa mbele kwa wiki mbili na sasa utafanyika Machi 2, mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Uamuzi wa kusogeza mbele tarehe ya kufanyika uchaguzi huo imechukuliwa na Sekretarieti ya TASWA kutokana na sababu mbalimbali, lakini kubwa ni kutoa nafasi kwa wanachama wengi zaidi kulipia ada zao kwa ajili ya kushiriki mkutano huo wa uchaguzi.
Hadi kufikia leo mchana idadi ya...

 

9 years ago

Michuzi

MUDA WA KUONDOKA TRENI YA DELUXE KWENDA MWANZA JUMAPILI OKTOBA 25, 2015 WASOGEZWA MBELE

KAMPUNI YA RELI TANZANIA(TRL)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (PRESS RELEASE)

 Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL unachukua fursa  hii kuwaarifu abiria wa treni ya deluxe ya Jumapili Oktoba 25, 2015 kutoka Dar es Salaam kwenda  Mwanza kuwa muda wa kuondoka umesogezwa mbele kutoka saa 2 asubuhi hadi saa 2 usiku wa  siku hiyohiyo.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo uamuzi huo umechukuliwa maalum ili kuwapa fursa Abiria waliojiandikisha kupiga kura kutumia haki yao ya kikatiba kikamilifu.


Utaratibu huu...

 

10 years ago

Michuzi

MUDA WA KUJISAJILI KWENDA HIJJA WASOGEZWA MBELE TOKA JUNI 15 HADI AGOSTI 25, 2015

 Naibu Mwenyekiti Ofisi Kuu ya Hijja Tanzania (BIITHA), Yusuf Musun (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kusogezwa mbele muda wa kujisajili kwenda Hijja kutoka Juni 15 hadi Agosti 25 mwaka huu. Kulia ni Ofisa Habari wa Biitha, Hamisi Tembo na Mratibu wa Biitha, Abdallah Khalid.Mkutano na wanahabari ukiendelea.

Na Dotto Mwaibale

MAHUJAJI nchini wametakiwa kujitokeza kujisajili katika taasisi zilizosajiliwa kisheria ili kujiandaa kwenda...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Mawaziri wa Mifugo wafunguliwa leo jijini Nairobi,Kenya

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,Dr. Titus Mlengeya Kamani (katikati) akishiriki kwenye mkutano wa Mawaziri wenye dhamana ya Mifugo,Mkutano huo umefanyika Katika ukumbi wa mikutano wa AU-IBR Jijini Nairobi, Kenya. Lengo la mkutano ni kujadili Mkakati wa Maendeleo ya Mifugo Afrika kwa kipindi cha 2015-2035Sehemu ya Mawaziri wenye dhamana ya Mifugo wakiwa kwenye Mkutano huo.Picha ya pamoja ya Mawaziri wenye dhamana ya Mifugo.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AIWAKILISHA TANZANIA MKUTANO WA MAWAZIRI, NCHINI AFRIKA KUSINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akiwa na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP), John Minja (kulia) katika Mkutano wa Mawaziri wenye dhamana na Taasisi za Urekebishaji. Mkutano huo ulioudhuriwa na mawaziri kutoka nchi mbalimbali barani Afrika unafanyika jijini Pretoria, nchini Afrika Kusini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WANAOSIMAMIA HUDUMA ZA HALI YA HEWA AFRIKA (AMCOMET)

Rais wa Cape Verde,Mhe. Jorge Carlos Fonseca akihutubia wakati wa kufungua mkutano wa Mawaziri wanaosimamia huduma za hali ya hewa za umoja wa Afrika, uliofanyika nchini Cape Verde kuanzia tarehe 12-14 Februari 2014. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi sambamba na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi,Dkt. Pascal Waniha wakiwa katika ushiriki wa mkutano huo. Viongozi wa Mamlaka za Hali ya Hewa Afrika katika picha ya pamoja ambapo walikutana kujadili...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUTOKA NCHI ZA KAMATI YA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUFANYIKA JIJINI DAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais –Mazingira Mh. Dk. Eng. Binilith Satano Mahenge, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mawaziri wa Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius Nyerere Tarehe 29 Agosti 2014.… ...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi wa Kenya, Tanzania wafanya mkutano

MAOFISA wa Polisi wa vituo vya mipakani kutoka nchini na Kenya, wamefanya mkutano wa ujirani mwema. Mkutano huo ulishirikisha waendesha pikipiki za bodaboda na lengo ni kukomesha uhalifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani