Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wa Kenya, Tanzania wafanya mkutano

MAOFISA wa Polisi wa vituo vya mipakani kutoka nchini na Kenya, wamefanya mkutano wa ujirani mwema. Mkutano huo ulishirikisha waendesha pikipiki za bodaboda na lengo ni kukomesha uhalifu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mkutano wa mawaziri Kenya, Tanzania wasogezwa mbele

Lazaro Nyalandu.MKUTANO kati ya Kenya na Tanzania uliokuwa uwakutanishe mawaziri wa nchi hizo, wanaoshughulikia masuala ya utalii umeahirishwa, kutokana na baadhi ya mawaziri wapya wa Tanzania kuomba kushiriki mkutano huo.

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA UIMARISHAJI NA UHAKIKI WA MIPAKA KATI YA TANZANIA NA KENYA

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inafanya mkutano wa siku tano kati ya Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Kenya ili kuimarisha na kuhakiki mipaka kati ya nchi hizo. Kikao hicho cha wajumbe maalumu kutoka nchi hizo mbili kinafanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 14 hadi 18 septemba 2015.  Mkurugenzi Idara ya upimaji na Ramani Bw. Justo Lyamuya, Mkurugenzi wa Nyumba Bw. Charles Mafuru kutoka Wizara ya Ardhi,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama na Castro wafanya mkutano.

Viongozi wa marekani na Cuba, Barack Obama na Raul Castro wamefanya mkutano wao wa kwanza tangu zaidi ya nusu karne iliyopita.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUSHIRIKI MKUTANO WA TATU WA MAENDELEO ENDELEVU YA MIJI NA MAKAZI DUNIANI NCHINI KENYA

Ujumbe wa Tanzania Kwenye Kamati ya maandalizi ya Mkutano wa tatu wa Maendeleo endelevu ya Miji na Makazi Duniani (HABITAT 3) unaofanyija jijini Nairobi nchini Kenya. Ujumbe huo unaongozwa na Naibu katibu Mkuu,Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi Dkt.Seleseid D.Mayunga (MBELE KULIA). Wengine pichani ni Maafisa waandamizi wa serikali.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCM wafanya vurugu mkutano wa CUF

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wafuasi wao wanadaiwa kuvamia eneo la mkutano uliokuwa umeandaliwa na Chama cha Wananchi (CUF), eneo la Buguruni jijini Dar es Salaam kwa ajili...

 

9 years ago

Vijimambo

ADC wafanya mkutano wa Kampeni jimbo la Mkoani

WANANCHI wa Ngombeni Jimbo la Mkoani wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, wakati alipokuwa akuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa chama hicho.(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akizungumza na wanachama wa chama hicho wakati wa mkutano wa hadhara wa kuwanadi wagombea wa Jimbo la Mkoani, huko katika uwanja wa Ngombeni Wilaya ya MkoaniMGOMBEA Urais wa...

 

11 years ago

GPL

TUMEKWISHA! MASHOGA, WASAGAJI WAFANYA MKUTANO DAR

Stori: Shakoor Jongo Tumekwisha! Taarifa ikufikie kwamba wanaume tata ambao si riziki (mashoga) na wanawake wanaojishughulisha na mapenzi ya jinsi moja (wasagaji) kutoka nchi mbalimbali wamefanya mkutano wao mkubwa wa kimataifa jijini Dar, Ijumaa Wikienda lina mkanda mzima. Mashoga wakiandamana kudai haki zao. Tukio hilo lililonaswa na gazeti hili lilifanyika kwa siku tatu mfululizo mwishoni mwa wiki iliyopita katika hoteli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani