TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WANAOSIMAMIA HUDUMA ZA HALI YA HEWA AFRIKA (AMCOMET)
Rais wa Cape Verde,Mhe. Jorge Carlos Fonseca akihutubia wakati wa kufungua mkutano wa Mawaziri wanaosimamia huduma za hali ya hewa za umoja wa Afrika, uliofanyika nchini Cape Verde kuanzia tarehe 12-14 Februari 2014.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi sambamba na Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi,Dkt. Pascal Waniha wakiwa katika ushiriki wa mkutano huo.
Viongozi wa Mamlaka za Hali ya Hewa Afrika katika picha ya pamoja ambapo walikutana kujadili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
10 years ago
Vijimambo
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

10 years ago
Michuzi
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA BARAZA KUU LA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)

10 years ago
Michuzi
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 17 WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO) NCHINI USWISI .

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi pamoja na ujumbe wa Tanzania akiwemo Bwana Mohamed Ngwali, Mkurugenzi wa TMA – Ofisi ya Zanzibar, wanashiriki mkutano mkuu wa 17 wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) unaofanyika Uswisi, makao makuu ya Shirika hilo kuanzia tarehe 25 Mei hadi 12 Juni...
10 years ago
Vijimambo
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 17 WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO) NCHINI USWISI TAREHE: 25 MEI HADI 12 JUNE 2015.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi pamoja na ujumbe wa Tanzania akiwemo Bwana Mohamed Ngwali, Mkurugenzi wa TMA – Ofisi ya Zanzibar, wanashiriki mkutano mkuu wa 17 wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) unaofanyika Uswisi, makao makuu ya Shirika hilo kuanzia tarehe 25 Mei hadi 12 Juni...
11 years ago
Michuzi.jpg)
MKUU WA MKOA WA ARUSHA AAGIZA MAMLAKA ZA HALI YA HEWA KUSINI MWA AFRIKA KUSHIRIKIANA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA KANDA YA SADC
Mkutano huo unafanyika mkoani Arusha. Akifungua mkutano huo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Jowika W. Kasunga alizitaka taasis za hali ya hewa kusini mwa Afrika ikiwemo TMA kushirikiana katika kutatua changamoto zinazoikabili...
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Mkutano wa huduma za hali ya hewa wafungwa Dar
Kutoka kushoto ni mwakilishi wa mradi wa CCIAM Prof. J.M. Abdallah, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi na Dk. Pascal F.Waniha.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, Dk. Agnes Kijazi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wawakilishi wa mradi wa CCIAM baada ya kufunga mkutano uliodumu kwa siku tano.
Baadhi ya wawakilishi wa mradi wa CCIAM wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka ya hali ya hewa nchini wakifuatilia...
5 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa msimu wa kipupwe nchini.

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.
Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.
Akizungumzia msimu huo,...