Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lissu: Tusijadili suala la Zitto

Lushoto, Korogwe, Muheza na Tanga MWANASHERIA Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu, amewataka Watanzania, hususan wanachama wa chama hicho kutopoteza muda kujadili suala la baadhi ya wanachama waliopatikana na makosa ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Lissu akataa kumuaga Zitto

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akiagana na wabunge wenzake baada ya kumaliza kutoa hoja yake ya kung’atuka rasmi bungeni Dodoma juzi. (Picha na Mroki Mroki).KITENDO cha aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, kutangaza bungeni kuwa anang’atuka ubunge, kilisababisha Bunge kuzizima huku akipewa pole na wabunge wengi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu amshukia Zitto Kabwe

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kuwa watu wanaosema kwamba maamuzi ya Kamati Kuu ya chama hicho kuwavua nafasi za uongozi makada wake watatu...

 

11 years ago

GPL

TUNDU LISSU: TUMUUE ZITTO KWA LIPI?

WAKATI Watanzania wote macho na masikio yao yakiwa Dodoma kwenye kikao cha Bunge la Katiba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) bado kuna mgogoro unaoendelea kuunguruma chinichini. Tundu Lissu akiongea na wafanyakazi wa Global (hawapo pichani). Mgogoro huo kati ya uongozi wa Chadema na…

 

11 years ago

Habarileo

Lissu: Zitto alianza siku nyingi kuchafua Chadema

LICHA ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuweka zuio la muda kwa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujadili uanachama wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Kabwe Zitto, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mjumbe wa CC, Tundu Lissu amedhihirisha wazi kuwa chama kimemvua Zitto uanachama.

 

11 years ago

GPL

TUNDU LISSU NA PETER KIBATARA WAKIONGEA NA WANAHABARI BAADA YA HUKUMU YA ZITTO

Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe Tundu Lissu akiwa na Mwanasheria wa chama hicho, Peter Kibatara wakiongea na wanahabari baada ya hukumu ya kesi ya Zitto Kabwe jana Januari 7, 2014.

 

5 years ago

Michuzi

WADHAMINI WA LISSU WAOMBA AMRI ITOLEWE YA KUMKAMATA KWA LISSU

WADHAMINI wa aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, Ibrahim Ahmed na Robart Katula wamefungua maombi  katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiomba itolewe amri ya kukamatwa kwa mshtakiwa huyo kwa kuwa wao wameshindwa kumpata.
Madai hayo yamewasilishwa leo Februari 20, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi dhidi ya Lissu ilipopangwa kwa ajili ya kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Mapema wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo...

 

10 years ago

Mtanzania

Raza aibukia suala la Escrow

Na Patricia Kimelemeta

MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi na Mbunge wa Uzini, Zanzibar, Mohamed Raza, amesema ataishauri Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUKI), kuwaandikia barua wahisani ili kuwaeleza namna sakata la Tegeta Escrow lisivyowahusu Wazanzibari.
Alisema amefikia uamuzi huo ili kushawishi wahisani waendelee kutoa misaada yao kama kawaida.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Raza alisema sakata hilo limewaathiri wananchi wa Zanzibar kutokana na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Suala la wakimbizi litatuliwe kipekee

Federica Mogherini ametahadharisha kwamba tatizo la uhamiaji ni kubwa na linahitaji utatuzi wa kipekee.

 

9 years ago

BBCSwahili

EU, Uturuki zakubaliana suala wakimbizi

Umoja wa ulaya na uturuki wafikia makubaliano ya jinsi ya kuchukua hatua ili kuondokana na mafuriko ya wakimbizi na wahamiaji ndani ya bara la Ulaya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani