Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wambura basi tena Simba

Mgombea wa urais wa Simba, Michael Wambura. Sweetbert Lukonge na Khadija Mngwai
KAMATI ya Uchaguzi ya Simba, jana Jumapili ilikutana kupitia pingamizi mbalimbali walizowekewa baadhi ya wagombea walioomba kuwania nafasi za uongozi wa klabu hiyo. Uamuzi kuhusiana na pingamizi mbalimbali utatolewa leo na kamati hiyo lakini kusalimika kwa mgombea wa urais wa Simba, Michael Wambura ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI SIMBA: Wambura: Sasa imetosha basi

>Siku moja baada ya kuenguliwa kwa mara ya sita kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Simba, Michael Wambura, amesema: “Imetosha, yatosha, sina cha kusema.”

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: MICHAEL WAMBURA AONDOLEWA TENA UCHAGUZI MKUU SIMBA

 Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Klabu ya Simba SC,Wakili Damas Ndumbaro akitoa tamko la kumuondoa kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Simba SC,Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti,Michael Richard Wambura kwa kosa la kufanya kampeni kinyume na kanuni na sheria za Uchaguzi za TFF.Ndumbaro ameyasema hayo leo wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari,ambapo amesema kuwa wamefikia uamuzi huo baada ya Kamati yake kukaa na kujadiliana mambo mbali mbali kuhusu Uchaguzi huo Mkuu...

 

11 years ago

GPL

Simba ndiyo basi tena.. yazimwa Taifa

Kikosi cha  timu ya Somba SC kilichocheza dhidi ya Coastal Union. Na Hans Mloli
MATARAJIO ya Simba kupata angalau nafasi ya pili ili kushiriki michuano ya kimataifa mwakani yamezidi kupotea baada ya jana kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Coastal Union ya Tanga, katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wambura kurejeshwa tena leo?

KAMATI ya Rufaa ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inatarajiwa kukutana leo mchana kupitia rufaa ya mgombea wa nafasi ya urais wa klabu ya Simba, Michael Wambura, anayepinga...

 

11 years ago

GPL

Wambura kama kawa, akata rufaa tena TFF

Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura.
Na Waandishi Wetu
MGOMBEA wa nafasi ya urais kwenye Klabu ya Simba, Michael Wambura, ameonyesha kuwa yeye ni kiboko yao baada ya kukata tena rufaa kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Wambura aliwasilisha rufaa yake kwenye Kamati ya Rufaa ya TFF, jana, akipiga kitendo cha kuondolewa na Kamati ya Uchaguzi ya Simba kwa madai kuwa alipiga kampeni kabla ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wambura kimeeleweka Simba

MGOMBEA aliyeenguliwa kuwania urais wa Klabu ya Simba katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Juni 29, Michael Wambura, amerejeshwa rasmi katika kinyang’anyiro hicho baada ya kushinda rufaa yake. Wambura, alienguliwa na Kamati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wambura yametimia Simba

MICHAEL Richard Wambura aliyekuwa anawania nafasi ya uenyekiti katika klabu ya Simba kupitia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Juni 29, jijini Dar es Salaam, amechujwa katika mbio hizo kwa kutokuwa mwanachama....

 

11 years ago

GPL

Dakika 17 zamuondoa Wambura Simba

Mgombea wa urais wa Simba, Michael Wambura. Sweetbert Lukonge na Hans Mloli
KAMATI ya Uchaguzi ya Simba chini ya Mwenyekiti Damas Ndumbaro, imemuondoa rasmi mgombea wa nafasi ya urais Simba, Michael Wambura, kama ilivyokuwa imeandikwa kwenye gazeti hili, juzi Jumatatu.
Wagombea wengine waliokuwa wamewekewa pingamizi, wote wamefanikiwa kuendelea katika hatua inayofuata. Ndumbaro ambaye alitumia dakika 17 kusoma hukumu ya...

 

11 years ago

Daily News

Wambura to test Simba waters


Daily News
Wambura to test Simba waters
Daily News
NEXT month's Simba general election promises nothing but a tight battle as former administrator and a well-known club fanatic, Michael Wambura confirmed that he will contest for the presidential post. Wambura, the former Secretary General of the then ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani