Wambura kama kawa, akata rufaa tena TFF
![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZCkEe73mDaQl85MAQ0CcAee38-aGaNz8scvPwvWKuEu2hbZxXg4jJxG7rK9cBZcQDLb1ZHehG*JYqTRP8kp7pJ8X/wa.gif?width=650)
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura. Na Waandishi Wetu MGOMBEA wa nafasi ya urais kwenye Klabu ya Simba, Michael Wambura, ameonyesha kuwa yeye ni kiboko yao baada ya kukata tena rufaa kwenye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Wambura aliwasilisha rufaa yake kwenye Kamati ya Rufaa ya TFF, jana, akipiga kitendo cha kuondolewa na Kamati ya Uchaguzi ya Simba kwa madai kuwa alipiga kampeni kabla ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RqdQyZgpKtJrJT65-pmr0wpAYfyIYJwm5r*xY03keNu7C0YdPzxMtt8DDX5dCIHQrPCAzHmk1wvm54JbwBZKZbnPoZMKBLbp/AWADHNANDITI.jpg?width=650)
SIMBA KAMA KAWA SARE TENA
10 years ago
Vijimambo28 Dec
DIAMOND NDANI BURUNDI NI SHIIIIDA ZARI KAMA KAWA KAWA DAWA
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/240.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/39.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/46.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/55.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/66.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/76.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/1515782_813759588680773_361530474_n.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/10843796_1600128320221330_1387340386_n.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/10848256_1562372814004909_1103692674_n.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/10864869_1532023193734930_727265778_n.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/10864970_1592259054322814_1268864582_n.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/10890552_323662227824937_934916415_n.jpg)
![](http://djchokamusic.com/wp-content/uploads/2014/12/10891006_431393020343188_1378749524_n.jpg)
Picture by http://instagram.com/wcb_wasafi Picha kwa hisani ya DjChoka.
10 years ago
Habarileo27 Feb
Chenge akwama, akata rufaa
MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge ameendelea kupambana ili Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, lisiendelee kusikiliza shauri lake, licha ya pingamizi lake kutupiliwa mbali jana.
9 years ago
Habarileo30 Aug
Mgombea Chadema akata rufaa
ALIYEKUWA mgombea ubunge wa jimbo la uchaguzi la Ludewa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bartholomew Msambichaka, amekata rufaa Tume ya Uchaguzi (NEC) kupinga pingamizi alilowekewa akidaiwa kutorudisha fomu namba 10.
10 years ago
GPLCHENGE AKATA RUFAA TUME YA MAADILI
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Akata rufaa dhidi ya hukumu ya ushoga
10 years ago
Mtanzania27 Feb
Chenge akata rufaa Mahakama Kuu
Patricia Kimelemeta na Aziza Masoud
BARAZA la Maadili la Utumishi wa Umma jana lilikwama kuendelea na mahojiano na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM).
Baraza hilo lilishindwa kuendelea na kazi yake hiyo baada ya Chenge kukata rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga uamuzi wa Baraza hilo kuendelea kujadili tuhuma zinazomkabili.
bilioni 1.6 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Tanzania Ltd, James Rugemalira, kupitia Akaunti ya Tegeta Escrow.
Kabla ya...
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Pistorius:Kiongozi wa mashitaka akata rufaa
10 years ago
CloudsFM26 Jun
Faiza Akata Rufaa Dhidi ya Ushindi wa Sugu
Staa wa Bongo Movies, Faiza Ally aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa hivi juzi ambayo ilimpa ushindi Sugu na hivyo kumchukua mtoto (Sasha) baada ya Faiza kuonekana kuwa ana muharibu mtoto kutokana na tabia zake ususani mavazi.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram, Faiza mbali na kuelezea rufaa yake ameeleze pia masikitiko yake kutokana na baadhi ya watu kumshabulia kwa maneno makali juu ya mavazi yake...