Kuelekea Uchaguzi, Nora Naye Aibuka na Haya
Nguo zisiwazingue "hii team Lowasa changes lazima" hii nchi inataka maendeleo yanayoonekana sio yakusadikika tumewapa miaka yooote bado mnaona Watanzania mazumbukuku mnaongea mpaka mapovu ya mdomo yanawatoka utendaji zerooo hivi mnataka kusema mtu mmoja ndo ataweza kufanya kazi peke yake, team yake si ile ile wakwendreeee, Lowasa gooooo Lowasa goooo new presedent.
Mafisi nkwendreee waroho wakubwa mkiwa madarakani mnaona Tanzania ni kimji kidoooogo mnachoweza kufanya lolote kwenye uchaguzi...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
Nora Aibuka, Akana Kufulia
Staa mrembo wa Bongo Movies, Nuru Nassoro ‘Nora’ ameibuka kutoka mafichoni na kueleza kuwa, hajafulia kama baadhi ya watu wanavyofikiria.
Akistorisha na gazeti la Ijumaa hivi karibuni, Nora ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu alisema anawashangaa watu wanaozusha kwamba amefulia wakati maisha yake anayaendesha kama kawaida.
“Mimi sijafulia jamani, nipo na nitazidi kuwepo na mashabiki wangu wajue kwamba kimya kingi kina mshindo mkuu, kisanii nipo chimbo naandaa mambo mazuri,” alisema...
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Julio naye aibuka Simba
WAKATI mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea uongozi katika Klabu ya Simba ukifungwa jana, aliyekuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, ameibuka na kujitosa kuwania nafasi...
10 years ago
Bongo Movies30 Apr
Shehe Aibuka na Haya kwa Wastara
Kutokana na matukio mabaya yanayomtokea staa wa Bongo Movies, Wastara Juma, shehe aliyejulikana kwa jina la Shaban Ally wa jijini Dar, ameibuka na kumuonya mwigizaji huyo kwamba kama anataka ‘mabalaa’ yasizidi kumuandama basi arejee kwa Mungu wake kwani anaonekana amemuacha.
Shehe huyo alifikia hatua hiyo kutokana na Wastara kuandamwa na ajali za mara kwa mara kwani hivi karibuni alianguka chooni na kabla hajakaa sawa akapata ajali ya gari na kuumia usoni.Shehe Shaban alisema staa huyo...
10 years ago
Bongo Movies30 Mar
Haya Ndio Maelezo ya JB Kuhusu Watu Wanaotaka Kuigiza Naye
Habari,mara nyingi nimekuwa nikipokea maombi ya watu kutaka kuigiza, jamani kuna team ya ma director ndio wanafanya kazi hii sio mimi, na hawawezi kukuchagua kwa kusema tu, mpaka wakuone ukiigiza mahali nawavutiwe.
Please anza hata kwenye tamthilia.naamini wapo waigizaji wengi wenye vipaji lakini ni lazima uanzie sehemu kabla ya kufika kwetu.asante. JB ameandika haya kwenye ukurasa mtandaoni.
9 years ago
Vijimambo17 Sep
MCHUNGAJI MTIKILA AIBUKA NA KIHOJA HIKI LEO,NAYE AUNGANA NA LIPUMBA NA SLAA KUIMBA WIMBO WA LOWASSA,SOMA HAPO KUJUA
NA KAROLI VINSENTMWENYEKITI wa cha Democratic Party (DP), Christopher Mtikila ameibuka na kihoja pale alipowataka Watanzania siku ya kupiga kura tarehe 25 octoba mwaka huu kutoipigia kura kipengele cha Urais na wataka watanzaniakuwachagua wabunge na Madiwani peke yake,kwakuwa wagombea wote wa urais waliosiamishwa kwenye vyama vayo hawana uwezo wa kuliongoza taifa hili.Kauli ya hiyo ya Mchangaji Mtikila ameitoa leo Jijini Dar es Saalam wakati wa mkutano na waandishi wa Habari ambapo...
9 years ago
GPL15 Sep
10 years ago
MichuziPRESS CLUB ZNZ YAFANYA UCHAGUZI NA KUSISITIZWA MAADILI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Oct
Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakitia sign ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka […]
The post Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25 appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Kuelekea Ballon d’Or January 11, haya ni mafanikio ya Ronaldo na Messi kwa mwaka 2015 …
Kuelekea fainali ya tuzo za mchezaji bora wa dunia kwa mwaka 2015 zitakazofanyika Zurich Uswiss January 11 2016, naomba nikusogezee mafanikio ya washindani wa jadi wa tuzo hizo. Kwa mwaka 2015 wachezahi watatu waliofanikiwa kuingia katika fainali ya tuzo hizo ni Messi, Neymar na Ronaldo. Kwa kiasi kikubwa washindani wakuu ni Messi na Ronaldo hao […]
The post Kuelekea Ballon d’Or January 11, haya ni mafanikio ya Ronaldo na Messi kwa mwaka 2015 … appeared first on...