Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INYANYA AGEUKA MBOGO KISA KUTOKA NA FREDA

 Mwanamuziki kutoka Nigeria,Iyanya. IEZI kadhaa iliyopita, mfanyabiashara maarufu wa kike nchini Nigeria, Freda Francis, alionekana akiwa katika picha iliyokaa kimahaba na mwimbaji Iyanya pia wa nchini humo, ambapo kulizuka minong’ono kibao kwamba huenda watu hao walikuwa wamezama katika mahaba. Freda alipoulizwa wiki kadhaa zilizopita kuhusu hali hiyo, alisema jambo lolote analofanya… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maximo ageuka ‘mbogo’

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewaweka kitimoto nyota wake huku akiwatuhumu kuwa hawakabi uwanjani na wanaridhika mapema na matokeo, jambo linalosababisha timu hiyo kuwa katika wakati mgumu kwenye mechi zao za ligi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwambusi ageuka ‘mbogo’

>Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi   amewashutumu watu waliomzushia kuwa amenunuliwa nyumba na klabu ya Azam FC, hali iliyofanya maisha yake kuwa hatarini kabla ya mchezo huo.

 

10 years ago

GPL

MAMA KANUMBA AGEUKA MBOGO

Na Mayasa Mariwata/Risasi Mchanganyiko
KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mtegoa amegeuka mbogo baada ya kuulizwa kuhusu hatima ya kikazi ya taasisi hiyo. “Muonekana wa Ofisi ya Kanumba The Great wakati ikiwa inafanya kazi. Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni haimhusu mtu yeyote, hili ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzungu wa Simba ageuka ‘mbogo’

Kocha wa Simba, Dylan Kerr amesema anataka wachezaji wote wa timu hiyo wawe wamejiunga na kambi yake iliyoko hapa, la sivyo watafute timu nyingine za kuchezea.

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta ageuka mbogo, awashambulia wasomi

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, amejibu mapigo akiwashambulia wasomi wanaohoji uhalali wa wajumbe wa Bunge hilo kupiga kura wakiwa nje ya nchi, akisema wasomi hao wanachanganya sheria za nchi.

 

10 years ago

GPL

WEMA AWA MBOGO KISA DIAMOND

Stori: Imelda Mtema/ijumaawikienda STAA wa sinema asiyekaukiwa matukio Bongo, Wema Sepetu amezua kioja cha aina yake baada ya kutajiwa jina la aliyekuwa mwandani wake, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Staa wa sinema asiyekaukiwa matukio Bongo, Wema Sepetu. Kioja hicho alikifanya juzikati nyumbani kwake, Kijitonyama jiji Dar alipokuwa akirekodi kipindi chake cha In My Shoes ndipo aliposhtuka baada...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Awa Mbogo Kisa Kutajiwa Diamond

Vijimambo:Mrembo na staa wa Bongo Movie asiyekaukiwa na visa na mikasa, Wema Sepetu amezua kioja cha aina yake baada ya kutajiwa jina la aliyekuwa mwandani wake, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Kioja hicho alikifanya juzikati nyumbani kwake, Kijitonyama jiji Dar alipokuwa akirekodi kipindi chake cha In My Shoes ndipo aliposhtuka baada kutumiwa maoni na moja wa shabiki wake kupitia mtandao wa simu.“Heeeh! Huyu vipi tena ananitajia jina hili (Diamond)? Sitaki kabisa kulisikia,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mama Kanumba Awa Mbogo, Kisa Ofisi ya Kanumba…!

KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mtegoa amegeuka mbogo baada ya kuulizwa kuhusu hatima ya kikazi ya taasisi hiyo.

Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni haimhusu mtu yeyote, hili ni jambo langu siyo lazima niliweke wazi, kama kampuni imekufa au itaendelea haiwahusu, wanaoamini imekufa waamini hivyo, maana hata Yesu walisema atarudi hadi leo mbona hajarudi?”...

 

11 years ago

Mwananchi

KUTOKA ZANZIBAR: Wanawake na siasa zetu ni kisa cha tajiri na maskini?

>Tafiti nyingi zinaonyesha kwamba mchango wa wanawake katika mambo ya siasa ni mkubwa kuliko ule wa wanaume.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani