Mama Kanumba Awa Mbogo, Kisa Ofisi ya Kanumba…!
KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mtegoa amegeuka mbogo baada ya kuulizwa kuhusu hatima ya kikazi ya taasisi hiyo.
Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni haimhusu mtu yeyote, hili ni jambo langu siyo lazima niliweke wazi, kama kampuni imekufa au itaendelea haiwahusu, wanaoamini imekufa waamini hivyo, maana hata Yesu walisema atarudi hadi leo mbona hajarudi?...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
Mama Kanumba:Nitaendeleza ndoto za Kanumba kupitia "Kanumba Foundation"
Mama wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema kuwa kupitia Kampuni ya Kanumba The Great Film inakamilisha uanzishaji wa taasisi itakayoitwa, Kanumba Foundation.
Pia, alikanusha uvumi kuwa kampuni ya Kanumba imekufa, akifafanua jambo hilo alisema kampuni hiyo inaendelea na shughuli zake. Alisema kutakuwapo Kanumba Foundation ili kusaidia jamii wakiwamo wasanii katika masuala mbalimbali.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Flora alisema uamuzi...
10 years ago
GPL
MAMA KANUMBA AGEUKA MBOGO
10 years ago
Bongo Movies07 Dec
MAMA KANUMBA: Skendo ya Kanumba iliyonitesa ni ya Ung'eng'e
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa ambaye kwasasa ameingia kwenye tasnia ya filamu hapa nchini amefunguka kuwa hakuna skendo ambayo ilimsononesha kama ile ya mwanaye huyo kuambiwa hajui Kiingereza .
Mama Kanumba alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalum na Mwandishi Wetu : “Eti Kanumba hajui Kiingereza , hili lilinishtua sana nikalipinga kwa nguvu zote sababu najua mwanangu hata shule alikuwa kichwa, ” alisema mama Kanumba .
Skendo ya kudaiwa kutozungumza Kiingereza...
10 years ago
Bongo514 Jan
Mama Kanumba asikitishwa na wasanii pamoja na wadau wa filamu kususia uzinduzi wa kitabu cha Kanumba
11 years ago
GPL
BABA KANUMBA: NITAMPELEKA MAMA KANUMBA SEGEREA
10 years ago
GPL
WEMA AWA MBOGO KISA DIAMOND
10 years ago
Bongo Movies10 Mar
Wema Awa Mbogo Kisa Kutajiwa Diamond
Vijimambo:Mrembo na staa wa Bongo Movie asiyekaukiwa na visa na mikasa, Wema Sepetu amezua kioja cha aina yake baada ya kutajiwa jina la aliyekuwa mwandani wake, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Kioja hicho alikifanya juzikati nyumbani kwake, Kijitonyama jiji Dar alipokuwa akirekodi kipindi chake cha In My Shoes ndipo aliposhtuka baada kutumiwa maoni na moja wa shabiki wake kupitia mtandao wa simu.“Heeeh! Huyu vipi tena ananitajia jina hili (Diamond)? Sitaki kabisa kulisikia,...
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Kanumba Day: Wastara Ana Haya Kuhusu Kitabu cha Kanumba
“Hiki kitabu chenye historia yako chatosha kunifanya nione umuhimu mkubwa uliokuwa nao katika tasnia na safari ndefu uliyopitia mpka ulimwengu kkutambua wew ni nani yoyte mwenye moyo wa dhati na asiyechoka na kukata siku zote atasimama nakufuata njia ulizopita duniani ni njia tu lakini jinsi utakavyoipita njia hii ndivyo utakavyowapa watu kumbukumbu ya kukkumbuka kilasiku tunakukumbuka sana lakini kifo ni safari ya lazima aina rushwa wala aikwepeki tuko nyuma yako mungu akusamehe makosa yako...
10 years ago
GPL
OFISI YA KANUMBA YAFUNGWA RASMI!