MAMA KANUMBA: Skendo ya Kanumba iliyonitesa ni ya Ung'eng'e
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa ambaye kwasasa ameingia kwenye tasnia ya filamu hapa nchini amefunguka kuwa hakuna skendo ambayo ilimsononesha kama ile ya mwanaye huyo kuambiwa hajui Kiingereza .
Mama Kanumba alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalum na Mwandishi Wetu : “Eti Kanumba hajui Kiingereza , hili lilinishtua sana nikalipinga kwa nguvu zote sababu najua mwanangu hata shule alikuwa kichwa, ” alisema mama Kanumba .
Skendo ya kudaiwa kutozungumza Kiingereza...
Bongo Movies
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania