Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamara ageuka ‘adui’ Yanga

Dar es Salaam. Badaa ya kutoswa na Yanga, kiungo wa Sierra Leone, Lansana Kamara ameibukia kwa wapinzani wao katika mchezo wa leo, SC Villa ya Uganda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Baba ageuka adui wa wanawe Afrika Kusini

Mwanamume mmoja wa Afrika Kusini aliyekuwa amewafungia wanawe kwa minyororo katika chumba kimoja kwa miaka minane, amezuiliwa na polisi nchini humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Yanga amtega Kamara

Dar es Salaam. Kiungo mpya wa Yanga, Msierra Leone Lansana Kamara amepewa mtihani mwingine na kocha Hans Pluijm akitakiwa kuhakikisha anajua kupiga mashuti ili kusajiliwa.

 

10 years ago

GPL

Adui wa Yanga kuchezesha mechi ya watani

Mwamuzi  Israel Mujuni Nkongo. Khadija Mngwai na Wilbert Molandi
MECHI kubwa katika Ligi Kuu ya Bara kati ya timu kongwe pinzani nchini, Simba na Yanga, inatarajiwa kupigwa Oktoba 18, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, gumzo ni kubwa lakini tayari Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtaja mwamuzi atakayesimama katikati siku hiyo. Mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara inasubiriwa kwa hamu na habari ni kuwa, mwamuzi wa siku hiyo ni...

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI : Ngoma atua leo, Kamara apewa siku saba Yanga

Wakati mshambuliaji wa Platinum ya Zimbabwe, Donald Ngoma akitarajia kuwasili nchini leo, kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amejipa siku saba za kujiridhisha juu ya uwezo wa kiungo mkabaji kutoka Sierra Leone, Lansana Kamara.

 

9 years ago

Mtanzania

Zitto ageuka

zitto00Evans Magege na Jonas Mushi

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, jana hakutoka bungeni wakati wabunge wa upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) walipoamriwa kufanya hivyo na Spika wa Bunge, Job Ndugai, baada ya kukataa kuacha kuzomea na kupiga kelele kwa minajili ya kumzuia Rais John Magufuli kuzindua Bunge la 11.

Awali Zitto alionekana kuungana na Ukawa kabla Rais Magufuli hajaingia ndani ya Bunge.

Tukio ambalo lilionekana kuwaunganisha Zitto na Ukawa ni lile...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwambusi ageuka ‘mbogo’

>Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi   amewashutumu watu waliomzushia kuwa amenunuliwa nyumba na klabu ya Azam FC, hali iliyofanya maisha yake kuwa hatarini kabla ya mchezo huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Maximo ageuka ‘mbogo’

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewaweka kitimoto nyota wake huku akiwatuhumu kuwa hawakabi uwanjani na wanaridhika mapema na matokeo, jambo linalosababisha timu hiyo kuwa katika wakati mgumu kwenye mechi zao za ligi.

 

9 years ago

GPL

IDRIS AGEUKA BODIGADI WA MNAMIBIA!

Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan akimrekebisha shati Luis Munana. MSHINDI wa Shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014, Idris Sultan juzi kati aligeuka bodigadi wa muda wa mshiriki mwenzake wa Big Brother kutoka Namibia, Luis Munana. Katukio hako ‘amazing’ kalijiri katika sherehe ya kuzaliwa ya staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu ambapo muda mwingi Idris alikuwa akihakikisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzungu wa Simba ageuka ‘mbogo’

Kocha wa Simba, Dylan Kerr amesema anataka wachezaji wote wa timu hiyo wawe wamejiunga na kambi yake iliyoko hapa, la sivyo watafute timu nyingine za kuchezea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani