Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USAJILI : Ngoma atua leo, Kamara apewa siku saba Yanga

Wakati mshambuliaji wa Platinum ya Zimbabwe, Donald Ngoma akitarajia kuwasili nchini leo, kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amejipa siku saba za kujiridhisha juu ya uwezo wa kiungo mkabaji kutoka Sierra Leone, Lansana Kamara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

USAJILI : Mzimbabwe atua Yanga

Kiungo wa FC Platinum ya Zimbabwe, Thabani Kamusoko amewasili nchini kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Yanga na kusema hakuja Tanzania kukalia benchi.

 

9 years ago

Habarileo

Nonga atua Yanga, Kessy ngoma nzito

KLABU ya Yanga imefunga usajili wa dirisha dogo jana kwa kumsajili mchezaji wa zamani wa Mbeya City Paul Nonga ambaye alikuwa akicheza katika timu ya Mwadui FC ya Shinyanga.

 

10 years ago

GPL

DONALD NGOMA, MGHANA RASMI NDANI YA YANGA, WATUA BONGO LEO

Wachezaji wapya wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) kutoka Klabu ya FC Platinum ya Zimbabwe na James Zutah kutoka Medeama ya nchini kwao Ghana , anayecheza nafasi ya beki ya kulia na kiungo, punde bada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo saa 3:30 asubuhi. Zutah akihojiwa na mwandishi wa habari kabla ya kupanda gari kwenda kupumzika katika moja ya hoteli za kifahari katikati ya jiji walikoandaliwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kamara ageuka ‘adui’ Yanga

Dar es Salaam. Badaa ya kutoswa na Yanga, kiungo wa Sierra Leone, Lansana Kamara ameibukia kwa wapinzani wao katika mchezo wa leo, SC Villa ya Uganda.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Yanga amtega Kamara

Dar es Salaam. Kiungo mpya wa Yanga, Msierra Leone Lansana Kamara amepewa mtihani mwingine na kocha Hans Pluijm akitakiwa kuhakikisha anajua kupiga mashuti ili kusajiliwa.

 

10 years ago

GPL

ROJO ATUA MAN UNITED KUKAMILISHA USAJILI

Marcos Rojo (mwenye T-shirt) akiwa na wafanyakazi wa Man Utd katika hospitali ya Bridgewater ametua kukamilisha usajili siku ya leo kuchukuliwa vipimo.…

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA TFF LEO: TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME, MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali. Uamuzi huo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) uliokuwepo nchini kwa wiki nzima kwa ajili ya kufanya mapitio (review) ya uendeshaji wa TFF. Akizungumza Dar es Salaam leo (Agosti 17 mwaka huu), kiongozi wa ujumbe...

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA SABA SABA LEO:TTCL KUZINDUA KITUO KIKUBWA CHA KUUZIA INTERNET AFRIKA MASHARIKI

 Afisa Biashara Mkongo wa Taifa wa mawasiliano,Bwa.Thomas Lemunge akielezea kuhusiana na Mkongo wa Taifa wa mawasiliano unavyofanya kazi, mapema leo ndani ya maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea hivi sasa jijini Dar Es Salaam.
Bwa.Thomas amebainisha kuwa Mkongo wa Taifa wa mawasiliano umekwisha sambaa maeneo mengi ikiwemo mikoa 21 ya Tanzania mpaka sasa,Amesema kuwa Makampuni yote ya ndani yanatumia mkongo huu wa mawasiliano kupeleka huduma kwa wananchi na...

 

9 years ago

Bongo5

Shetta: Nina ngoma saba mpya na zote kali

Baada ya Shikirobo tarajia ngoma zingine kali kutoka kwa Shetta. Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa ameandaa nyimbo saba mpya ambapo atachagua moja ya kutoka. Amesema muziki wa sasa unahitaji nyimbo nzuri na sio kubahatisha. “Watu wategemee ngoma kali, sitaki kuongea sana, video kali. Kuna ngoma kama saba nimeziandaa,” amesema Shetta. “Yeyote itatoka kwasababu muziki umekuwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani