Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DONALD NGOMA, MGHANA RASMI NDANI YA YANGA, WATUA BONGO LEO

Wachezaji wapya wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) kutoka Klabu ya FC Platinum ya Zimbabwe na James Zutah kutoka Medeama ya nchini kwao Ghana , anayecheza nafasi ya beki ya kulia na kiungo, punde bada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo saa 3:30 asubuhi. Zutah akihojiwa na mwandishi wa habari kabla ya kupanda gari kwenda kupumzika katika moja ya hoteli za kifahari katikati ya jiji walikoandaliwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Saa mbili za Ngoma, Mghana Yanga ni hatari

Mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma. Wilbert Molandi na Sweetbert Luonge
SAA mbili walizofanya mazoezi ya pamoja na Yanga, zimetosha kabisa kwa mashabiki wa timu hiyo kukubali uwezo wa mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma na Mghana, Joseph Zuttah. Wachezaji hao walitua nchini wikiendi iliyopita na juzi walifuzu vipimo vya afya, kisha jana wakaanza kazi rasmi uwanjani na mastaa wengine.Ngoma amepewa jezi namba 11 iliyokuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

RASMI YANGA YAWATAMBULISHA NGOMA, TETTEH


Rasmi uongozi wa Yanga umewatambulisha wachezaji wake Donald Ngoma kutoka Zimbabwe na Joseph Zuttah ‘Tetteh’ raia wa Ghana.

Wawili hao wameingia mkataba wa miaka miwili kuinoa Yanga na leo walitambulishwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Yanga, Jerry Muro.Source:Salehjembe

 

11 years ago

Michuzi

CD mpya "Bongo Tambarare" ya Ngoma Africa Band aka FFU ndani ya Ethopia !

Addis Ababa,Ethopia, Kiongozi wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU aka Anunnaki Alien Kamanda Ras Makunja amewasili nchini Ethopia kwa ziara ya siku tatu ya kikazi,kwa ajili ya kuiporomoti CD mpya "Bongo Tambarare" ,baada  ya wadau wa muziki nchini humo kuomba CD hiyo iweze kupigwa katika vituo vya redio nchini humo. Wadau wa Ethopia wamevutiwa sana na mdundo uliomo ndani ya CD ya "Bongo Tambarare" yenye nyimbo tatu ambayo inasikika...

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI : Ngoma atua leo, Kamara apewa siku saba Yanga

Wakati mshambuliaji wa Platinum ya Zimbabwe, Donald Ngoma akitarajia kuwasili nchini leo, kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amejipa siku saba za kujiridhisha juu ya uwezo wa kiungo mkabaji kutoka Sierra Leone, Lansana Kamara.

 

11 years ago

GPL

IVO MAPUNDA NA DONALD MUSOTI WAJIUNGA RASMI NA SIMBA SC

KIPA Ivo Philip Mapunda, amesaini Mkataba wa kujiunga na klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam,akitokea Gor Mahia ya Kenya.Ivo amesaini Simba SC, baada ya kung’ara akiwa na kikosi cha Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mwaka huu. Ivo aliiongoza Kilimanjaro Stars kufika Nusu Fainali ya Challenge baada ya kuwatoa waliokuwa mabingwa...

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi wa the Kop in Tanzania watua anfield kukamilisha usajili wa chama bongo

 Katibu wa The Kop in Tanzania Issa Batenga akiwa katika ofisi kuu ya Bwawa la Maini kukamilisha usajili wa jumuiya hiyo ya wapenzai wa Liverpool nchini leo huko Anfield  Mwenyekiti wa The Kop in Tanzania Musleh akiwa Akiwa Anfield leo Issa Batenga na Musleh wakiwa na furaha baada ya kukamilisha usajili rasmi wa The Kop in Tanzania leo Mojawapo ya jezi ambazo kila mwanachama wa The Kop in Tanzania atapata. Hii ni mwendelezo wa harakati za kudumisha chama cha wapenzi wa Bwawa la Maini...

 

10 years ago

GPL

CHOKI, NYAMWELA WATUA RASMI TWANGA PEPETA

Ali Choki akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wakitambulishwa rasmi leo. Kulia ni Super Nyamwela na Luiza Mbutu. ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki na dansa wake Super Nyamwela wamejiunga rasmi na Bendi ya Twanga Pepeta leo na kutambulishwa kwa wanahabari katika mkutano uliofanyika Nemax Hotel, Kinondoni jijini…

 

9 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPOKEA RASMI WAZIRI CHARLES KITWANGA, WIZARANI LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akipokea zawadi ya Ua kutoka kwa Mtumsihi wa Wizara hiyo, Veronica Mwafisi wakati Katibu Mkuu wa Wizara, Mbarak Abdulwakil (kushoto) akiwaongoza Watumishi wa wizara yake kumpokea rasmi Waziri huyo alipokuwa anawasili wizarani hapo kuanza kazi leoWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi (D/IGP), Abdurahman Kaniki wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ kuzinduliwa rasmi leo viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar

Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai,  viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani