IVO MAPUNDA NA DONALD MUSOTI WAJIUNGA RASMI NA SIMBA SC
![](http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/12/Ivo.jpg?width=640)
KIPA Ivo Philip Mapunda, amesaini Mkataba wa kujiunga na klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam,akitokea Gor Mahia ya Kenya.Ivo amesaini Simba SC, baada ya kung’ara akiwa na kikosi cha Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mwaka huu. Ivo aliiongoza Kilimanjaro Stars kufika Nusu Fainali ya Challenge baada ya kuwatoa waliokuwa mabingwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Ivo Mapunda: Simba Musoti ni jembe
10 years ago
CloudsFM17 Dec
Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.
Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Ivo Mapunda amfagilia Aveva
KIPA wa Simba, Ivo Mapunda, ameupongeza uongozi mpya wa klabu hiyo kwa kufanya usajili mzuri ambao utaleta ushindani katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza jijini Dar es...
9 years ago
Raia Tanzania03 Sep
Ivo Mapunda aitwa AFC Leopards
ALIYEKUWA Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amemkumbuka kipa Ivo Mapunda ameonyesha nia ya kutaka kumsajili katika timu yake ya sasa ya AFC Leopard ya Kenya.
Mapunda alisema kuwa amepata mwaliko kutoka kwa Logarusic kwenda kuichezea timu hiyo huku taratibu nyingine zikiendelea.
“Logarusic anajua kazi yangu ni kocha ambaye nilikuwa nae Gor Mahia na Simba, baada ya kusikia nimeachwa alinipigia simu na kuniambia niende kwenye timu yake.
“Kuhusu suala la mkataba alijaniambia ili...
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Logarusic amrejesha Kenya Ivo Mapunda
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N5GVb18Ygrbf8CSvCBNHa3if4QYwjDLxI84zMCxBFy2PvyvAk1lJWAyeJbd3NNDSfM0jlQBFB0OIAB0ZxgAyDPI/TAULO.gif?width=640)
Taulo la Ivo Mapunda marufuku golini
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Ivo Mapunda aipeleka Kili Stars nusu fainali
11 years ago
GPL23 Jul
IVO MAPUNDA: WATANZANIA NJOONI TUONYESHE MATUMAINI KWA TAIFA LETU
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Kwa wanaofikiria Ivo Mapunda mzee, ukimuuliza kuhusu stori za kustaafu soka atakujibu hivi (+Audio)
Headlines za golikipa mkongwe ambaye amewahi kucheza katika vilabu vya Simba na Yanga pamoja na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Ivo Mapunda kuhusu suala la umri wake na lini atastaafu soka limeingia katika headlines kwa mara nyingine tena baada ya wengi kuona ameajili na Azam FC kwa mkataba wa muda mfupi, hivyo huenda […]
The post Kwa wanaofikiria Ivo Mapunda mzee, ukimuuliza kuhusu stori za kustaafu soka atakujibu hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.