Kwa wanaofikiria Ivo Mapunda mzee, ukimuuliza kuhusu stori za kustaafu soka atakujibu hivi (+Audio)
Headlines za golikipa mkongwe ambaye amewahi kucheza katika vilabu vya Simba na Yanga pamoja na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Ivo Mapunda kuhusu suala la umri wake na lini atastaafu soka limeingia katika headlines kwa mara nyingine tena baada ya wengi kuona ameajili na Azam FC kwa mkataba wa muda mfupi, hivyo huenda […]
The post Kwa wanaofikiria Ivo Mapunda mzee, ukimuuliza kuhusu stori za kustaafu soka atakujibu hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL23 Jul
IVO MAPUNDA: WATANZANIA NJOONI TUONYESHE MATUMAINI KWA TAIFA LETU
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Baada ya Canavaro kutaja lini atafikiria kustaafu soka, Abdi Kassim kataja mwaka kabisa !!! (+Audio)
Headlines za wanasoka wa kibongo kuulizwa kuhusu lini watastaafu kucheza soka zimekuwa zikiandikwa sana mitandaoni na hata kwenye vyombo vya habari, alianza kusikika nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na klabu ya Dar Es Salaam Young African Nadir Haroub Canavaro kuwa kacheza kwa muda mrefu, hivyo lini atastaafu? Canavaro kupitia gazeti la habari […]
The post Baada ya Canavaro kutaja lini atafikiria kustaafu soka, Abdi Kassim kataja mwaka kabisa !!! (+Audio) appeared first on...
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Ivo Mapunda amfagilia Aveva
KIPA wa Simba, Ivo Mapunda, ameupongeza uongozi mpya wa klabu hiyo kwa kufanya usajili mzuri ambao utaleta ushindani katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza jijini Dar es...
11 years ago
GPL
Taulo la Ivo Mapunda marufuku golini
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Ivo Mapunda: Simba Musoti ni jembe
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Logarusic amrejesha Kenya Ivo Mapunda
10 years ago
Raia Tanzania03 Sep
Ivo Mapunda aitwa AFC Leopards
ALIYEKUWA Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amemkumbuka kipa Ivo Mapunda ameonyesha nia ya kutaka kumsajili katika timu yake ya sasa ya AFC Leopard ya Kenya.
Mapunda alisema kuwa amepata mwaliko kutoka kwa Logarusic kwenda kuichezea timu hiyo huku taratibu nyingine zikiendelea.
“Logarusic anajua kazi yangu ni kocha ambaye nilikuwa nae Gor Mahia na Simba, baada ya kusikia nimeachwa alinipigia simu na kuniambia niende kwenye timu yake.
“Kuhusu suala la mkataba alijaniambia ili...
11 years ago
GPL
IVO MAPUNDA NA DONALD MUSOTI WAJIUNGA RASMI NA SIMBA SC
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Ivo Mapunda aipeleka Kili Stars nusu fainali