Taulo la Ivo Mapunda marufuku golini
![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N5GVb18Ygrbf8CSvCBNHa3if4QYwjDLxI84zMCxBFy2PvyvAk1lJWAyeJbd3NNDSfM0jlQBFB0OIAB0ZxgAyDPI/TAULO.gif?width=640)
Kipa wa Simba, Ivo Mapunda. Lucy Mgina na Sweetbert Lukonge TABIA ya kipa wa Simba, Ivo Mapunda kutundika taulo katika nyavu za golini sasa inaelekea kufikia ukomo kwa kuwa licha ya waamuzi kadhaa kumkataza kufanya hivyo wakati wa mechi, mwamuzi mwingine wa kimataifa ameliambia gazeti hili kuwa ni marufuku kutundika taulo golini. Ivo amekuwa na kawaida ya kutundika taulo kwenye nyavu kisha kuendelea na mchezo, lakini kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Taulo la Ivo laiamsha TFF
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limelaani tukio la shabiki kuingia uwanjani na kupora taulo la mlinda mlango wa Simba, Ivo Mapunda na kutokomea nalo kabla ya kukamatwa, huku likiahidi kuzungumza...
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Taulo la Ivo lawaponza Ngasa, Kavumbagu
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imewaadhibu wachezaji wa Yanga, Mrisho Ngasa na Mrundi Didier Kavumbagu, kutokana na imani za kishirikisha katika mechi dhidi ya Simba iliyopigwa Uwanja wa Taifa...
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Ivo Mapunda amfagilia Aveva
KIPA wa Simba, Ivo Mapunda, ameupongeza uongozi mpya wa klabu hiyo kwa kufanya usajili mzuri ambao utaleta ushindani katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza jijini Dar es...
9 years ago
Raia Tanzania03 Sep
Ivo Mapunda aitwa AFC Leopards
ALIYEKUWA Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amemkumbuka kipa Ivo Mapunda ameonyesha nia ya kutaka kumsajili katika timu yake ya sasa ya AFC Leopard ya Kenya.
Mapunda alisema kuwa amepata mwaliko kutoka kwa Logarusic kwenda kuichezea timu hiyo huku taratibu nyingine zikiendelea.
“Logarusic anajua kazi yangu ni kocha ambaye nilikuwa nae Gor Mahia na Simba, baada ya kusikia nimeachwa alinipigia simu na kuniambia niende kwenye timu yake.
“Kuhusu suala la mkataba alijaniambia ili...
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Logarusic amrejesha Kenya Ivo Mapunda
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Ivo Mapunda: Simba Musoti ni jembe
11 years ago
GPL![](http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/12/Ivo.jpg?width=640)
IVO MAPUNDA NA DONALD MUSOTI WAJIUNGA RASMI NA SIMBA SC
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Ivo Mapunda aipeleka Kili Stars nusu fainali
10 years ago
CloudsFM17 Dec
Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.
Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.