Ivo Mapunda aipeleka Kili Stars nusu fainali
p>KIPA mkongwe, Ivo Mapunda, jana aliibuka shujaa baada ya kuiwezesha timu ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars kuwaondoa mabingwa watetezi Uganda ‘The Cranes’ kwa changamoto ya mikwaju ya penalti...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLTIM KRUL AIPELEKA UHOLANZI NUSU FAINALI
11 years ago
MichuziMats Hummels aipeleka Ujerumani nusu fainali kombe la dunia kwa kichwa
Mats Hummels ameipaisha Ujerumani kwa kichwa na kuizimisha Ufaransa katika uwanja wa Maracana jijini Rio de Janeiro leo na kuipeleka nusu fainali. Beki huyo mwenye umri wa miaka 25 alifunga bao hilo la pekee dakika ya 13, na Ujerumani inayofundishwa na Joachim Low itaelekea Uwanja wa Belo Horizonte kupambana na mshindi wa robo fainal kati ya Brazil na Colombia baadaye leo. Chini ni mabeseni yenye madonge ya barafu ambayo wachezaji wa Ujerumani walitumia kutuliza joto kali la jiji la Rio...
9 years ago
Mtanzania25 Nov
Kili Stars ya kwanza robo fainali
*Zanzibar yaangukia pua, mzimu wa Algeria wamwandama Mudathir
NA MWANDISHI WETU
TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, imekuwa timu ya kwanza kufuzu kwa hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea kutimua vumbi nchini Ethiopia, baada ya jana kuichapa Rwanda ‘Amavubi’ mabao 2-1, mchezo uliofanyika Uwanja wa Awassa.
Wakati Kili Stars ikikenua kwa ushindi, wawakilishi wengine wa Tanzania, Zanzibar Heroes waliendelea kuwa wateja kwenye michuano hiyo baada ya...
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Stars kuivaa Kenya nusu fainali
11 years ago
GPLSTARS YAIVUA UBINGWA UGANDA, YATINGA NUSU FAINALI CHALENJI
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Ivo Mapunda amfagilia Aveva
KIPA wa Simba, Ivo Mapunda, ameupongeza uongozi mpya wa klabu hiyo kwa kufanya usajili mzuri ambao utaleta ushindani katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza jijini Dar es...
11 years ago
GPLTaulo la Ivo Mapunda marufuku golini
9 years ago
Raia Tanzania03 Sep
Ivo Mapunda aitwa AFC Leopards
ALIYEKUWA Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amemkumbuka kipa Ivo Mapunda ameonyesha nia ya kutaka kumsajili katika timu yake ya sasa ya AFC Leopard ya Kenya.
Mapunda alisema kuwa amepata mwaliko kutoka kwa Logarusic kwenda kuichezea timu hiyo huku taratibu nyingine zikiendelea.
“Logarusic anajua kazi yangu ni kocha ambaye nilikuwa nae Gor Mahia na Simba, baada ya kusikia nimeachwa alinipigia simu na kuniambia niende kwenye timu yake.
“Kuhusu suala la mkataba alijaniambia ili...
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Ivo Mapunda: Simba Musoti ni jembe