Mats Hummels aipeleka Ujerumani nusu fainali kombe la dunia kwa kichwa

Mats Hummels ameipaisha Ujerumani kwa kichwa na kuizimisha Ufaransa katika uwanja wa Maracana jijini Rio de Janeiro leo na kuipeleka nusu fainali. Beki huyo mwenye umri wa miaka 25 alifunga bao hilo la pekee dakika ya 13, na Ujerumani inayofundishwa na Joachim Low itaelekea Uwanja wa Belo Horizonte kupambana na mshindi wa robo fainal kati ya Brazil na Colombia baadaye leo. Chini ni mabeseni yenye madonge ya barafu ambayo wachezaji wa Ujerumani walitumia kutuliza joto kali la jiji la Rio...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Injini 5 za Ujerumani Fainali za Kombe la Dunia Brazil
MIONGONI mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa fainali za Kombe la Dunia za nchini Brazil, ni Ujerumani. Ujerumani, wenyeji wa fainali hizo wa mwaka 2006, ni timu...
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL11 years ago
GPL
TIM KRUL AIPELEKA UHOLANZI NUSU FAINALI
Kipa wa Uholanzi, Tim Krul akipangua penalti ya Michael Umana wa Costa Rica. Tim akishangilia na mwenzake Dirk Kuyt baada ya kuipeleka Uholanzi nusu fainali.…
11 years ago
GPL
KOMBE LA DUNIA: UJERUMANI YAIFANYIA KITU MBAYA BRAZIL NA KUTINGA FAINALI
Thomas Muller akifunga bao la kwanza la Ujerumani dakika ya 11. Muller akishangilia bao lake.…
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Ivo Mapunda aipeleka Kili Stars nusu fainali
p>KIPA mkongwe, Ivo Mapunda, jana aliibuka shujaa baada ya kuiwezesha timu ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars kuwaondoa mabingwa watetezi Uganda ‘The Cranes’ kwa changamoto ya mikwaju ya penalti...
11 years ago
GPL
RAIS KENYATTA AIPELEKA HARAMBEE STARS BRAZIL KWA ZIARA YA MAFUNZO KWA KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA
Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta akitoa hotuba yake katika Ikulu ya Nairobi wakati wa hafla ya kuiaga timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars aliyoipa ofa ya kwenda ziara ya mafunzo kwenye Kombe la Dunia nchini Brazil.
Rais Kenyatta akiongea na wachezaji wa Harambee Stars.…
11 years ago
Michuzi
Rais Kenyatta aipeleka Harambee Stars Brazil kwa ziara ya mafunzo kwa kushuhudia kombe la dunia
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameizawadi kwa kuifadhili timu ya taifa ya soka Harambe Stars ziara ya kwenda Brazil kutazama michuano ya kombe la dunia Hafla ya kuikabidhi rasmi ufadhili huo timu hiyo, ilifanyika katika ikulu ya Rais Ijumaa ambapo wachezaji kumi na moja wa timu hiyo walikabidhiwa tiketi za ndege kwenda Brazil.
Kitendo cha Rais bila shaka ni jambo la kutaka kuwatia motisha wachezaji wa timu ya taifa ambao hivi karibuni waliicharaza Djibouti mabao mawili kwa moja katika duru...
11 years ago
GPL
UJERUMANI BINGWA KWA MARA YA 4 KOMBE LA DUNIA
Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia baada ya kutwaa Kombe la Dunia kwa mara ya nne nchini Brazil usiku huu. Kocha wa Ujerumani, Joachim Low akinyanyua juu Kombe la Dunia.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania