Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saa mbili za Ngoma, Mghana Yanga ni hatari

Mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma. Wilbert Molandi na Sweetbert Luonge
SAA mbili walizofanya mazoezi ya pamoja na Yanga, zimetosha kabisa kwa mashabiki wa timu hiyo kukubali uwezo wa mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma na Mghana, Joseph Zuttah. Wachezaji hao walitua nchini wikiendi iliyopita na juzi walifuzu vipimo vya afya, kisha jana wakaanza kazi rasmi uwanjani na mastaa wengine.Ngoma amepewa jezi namba 11 iliyokuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Saa mbili za Mrwanda Yanga ni hatari

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Mrwanda. Na Waandishi Wetu
UNAWEZA kusema ni umafia umefanyika baada ya mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Mrwanda, kujiunga na Yanga akitokea Polisi Morogoro. Mrwanda alisaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuwatumikia vijana hao wa Jangwani, juzi jioni na jana alifanya maajabu kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyokuwa yakifanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam. Awali,...

 

10 years ago

GPL

DONALD NGOMA, MGHANA RASMI NDANI YA YANGA, WATUA BONGO LEO

Wachezaji wapya wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) kutoka Klabu ya FC Platinum ya Zimbabwe na James Zutah kutoka Medeama ya nchini kwao Ghana , anayecheza nafasi ya beki ya kulia na kiungo, punde bada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo saa 3:30 asubuhi. Zutah akihojiwa na mwandishi wa habari kabla ya kupanda gari kwenda kupumzika katika moja ya hoteli za kifahari katikati ya jiji walikoandaliwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Saa 48 za hatari kwa kiungo Yanga SC

Kiungo mpya wa Yanga, Lansana Kamara kutoka Sierra Leone ana saa 48 ngumu, hatari kwake kuishi nchini akisubiri majaliwa yake kwenye klabu hiyo ya mitaa ya Twiga na Jangwani.

 

10 years ago

Michuzi

TRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!

UONGOZI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA UNASIKITIKA KUWATAARIFU ABIRIA WA TRENI YA DELUXE YA KWENDA KIGOMA LEO JUMAPILI MEI 31, 2015, KUWA SAFARI HIYO IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU! 
TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI  NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...

 

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mwananchi

Saa 48 hatari za Msenegali wa Simba

Mshambuliaji mpya wa  klabu ya Simba,  Papa Niang kutoka Senegal ana saa 48 za kuthibitisha ubora wake, vinginevyo  ataondoka kama wengine waliomtangulia.

 

10 years ago

Mwananchi

Saa 24 za hatari kwa Okwi, Mosoti

 Saa 24 zimebaki kabla ya mshambuliaji, Emmanuel Okwi wa Yanga na beki Donald Mosoti wa Simba kutangazwa kuwa si wachezaji wa klabu hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani