Saa mbili za Mrwanda Yanga ni hatari
![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcXmeIACEcj0LXe5NNeKBIEIyAaFjJWchfTWpuRg8J-WB7KDaH8VB8UAfZcyY7zkJOhCxDJtzMLiKJk7i9TbW9fZ/sensuality1.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Mrwanda. Na Waandishi Wetu UNAWEZA kusema ni umafia umefanyika baada ya mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Mrwanda, kujiunga na Yanga akitokea Polisi Morogoro. Mrwanda alisaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuwatumikia vijana hao wa Jangwani, juzi jioni na jana alifanya maajabu kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyokuwa yakifanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam. Awali,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cFSv-yJm2DRgcXaWxXwKicx5PMGBYfoEmNYYnsdrHTn*074EjzteGGiuzse*y0kUYBAJu5Esnv3a8hJzgdmQaYhKhKJluHKe/jhgff.gif?width=650)
Saa mbili za Ngoma, Mghana Yanga ni hatari
10 years ago
Mwananchi14 Jun
Saa 48 za hatari kwa kiungo Yanga SC
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EWMw8iXl*iV1qS3pYI5To6wSGGqSuSR7diHOxJyg7fMFNUEpHrFJjvu1APwmgEWvaFkyQBBTc5SFVAOzCYOyfAxNnCL422t5/oiooo.jpg)
Tegete, Mrwanda watemwa Yanga
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Mrwanda asaini mwaka mmoja Yanga
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qadiquVwhYY/VWrkIp7Rr1I/AAAAAAAHa8M/fE6HHsFtj1w/s72-c/delux%2Bcoach3.jpg)
TRENI YA DELUXE ILIYOPANGWA KUONDOKA LEO SAA 2 USIKU IMEAHIRISHWA HADI KESHO JUMATATU SAA MBILI USIKU!
![](http://2.bp.blogspot.com/-qadiquVwhYY/VWrkIp7Rr1I/AAAAAAAHa8M/fE6HHsFtj1w/s640/delux%2Bcoach3.jpg)
TAARIFA HIYO IMEELEZA KUWA SABABU ZA KUAHIRISHWA SAFARI HIYO NI AJALI YA TRENI YA MIZIGO ILIYOTOKEA JANA SAA 2 USIKU KATIKA STESHENI YA SARANDA AMBAPO MABEHEWA 4 YAMEPINDUKA ! TAYARI WAHANDISI NA MAFUNDI WA TRL WANAELEKEA ENEO LA KWA KAZI YA KUYAINUA NA PIA KUKARABATI NJIA!
ATAYESOMA TAARIFA HII...
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Yanga yaiadhibu Polisi Mrwanda awaua ‘waajiri’ wake
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-_VRPZ16Qxow/VgoFr0uvMKI/AAAAAAAAAxY/1m2r3_ksmYU/s72-c/IYK-Flier-Oct-04.png)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Uarnns2BDr8/VIX8NB7wh3I/AAAAAAAG2Iw/ZM4tXwU_0pA/s72-c/KIJANA%2BDANNY.jpg)
BREAKING NYUZZZZ.....: MSHAMBULIAJI DANNY MRWANDA AMWAGA WINO YANGA USIKU HUU
![](http://2.bp.blogspot.com/-Uarnns2BDr8/VIX8NB7wh3I/AAAAAAAG2Iw/ZM4tXwU_0pA/s1600/KIJANA%2BDANNY.jpg)
Yanga imewafanyia umafia watani zao wa jadi Simba,ambayo ilionyesha nia kubwa ya kumuhitaji Mrwanda ikiwa ni kwa hudi na uvumba na tayariilishatangaza nia yake hiyo ya kutaka kumsajili.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga kinasema kuwa,Yanga imeamua kumsajili Mrwanda kuchukua nafasi ya Said Bahanuzi aliyetolewa kwa mkopo kwenda Polisi Morogoro...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-el9oHk7lkaU/Vh01EOKFsmI/AAAAAAAAAxw/lotIlT2hZmU/s72-c/ibadaOct18-1.png)
Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio - Maombezi Maalum ya Uchaguzi Mkuu wa Uraisi Tanzania: Muda Kuanzia Saa Kumi Kamili hadi Saa Kumi na Mbili Jioni (4:00pm - 6:00pm EST)
![](http://4.bp.blogspot.com/-el9oHk7lkaU/Vh01EOKFsmI/AAAAAAAAAxw/lotIlT2hZmU/s640/ibadaOct18-1.png)
Karibu tembelea tovuti yetu :- www.iykcolumbus.orgMungu Ibariki Tanzania! Mungu Ibariki Afrika!