Yanga yaiadhibu Polisi Mrwanda awaua ‘waajiri’ wake
Danny Mrwanda akirejea kwa mara ya kwanza kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro akicheza dhidi ya timu yake ya zamani, Polisi ameipa Yanga pointi tatu muhimu na kuipandisha kwa muda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 May
Muuguzi awaua wagonjwa wake Uingereza
Muuguzi mmoja amehukumiwa kwa makosa ya kuwaua wagonjwa wake wawili na kuwapa wengine 20 sumu katika hospitali ya Greater Manchester.
11 years ago
Mwananchi11 May
Mtoto awaua kwa mapanga wazazi wake, atoweka
Kijana aliyetambulika kwa jina la Yusufu Njau (32) mkazi wa kijiji cha Roo Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, ameuawa kwa kuwakatakata mapanga wazazi wake na kisha kuchoma nyumba moto na kukimbia kusikojulikana.
10 years ago
GPLTegete, Mrwanda watemwa Yanga
Mkongwe wa Yanga, Jerry Tegete. Sweetbert Lukonge,Dar es Salaam
BENCHI la ufundi la Yanga chini ya Mdachi, Hans van Der Pluijm, limedaiwa kufanya maamuzi magumu ambayo kwa namna moja au nyingine, yatawashangaza wadau wengi wa klabu hiyo. Imedaiwa kuwa kocha huyo ambaye ameiongoza Yanga msimu huu kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, amependekeza wachezaji saba kuondolewa kutokana na mchango yao finyu msimu mzima, akiwemo mchezaji...
10 years ago
GPLSaa mbili za Mrwanda Yanga ni hatari
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Mrwanda. Na Waandishi Wetu
UNAWEZA kusema ni umafia umefanyika baada ya mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Mrwanda, kujiunga na Yanga akitokea Polisi Morogoro. Mrwanda alisaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuwatumikia vijana hao wa Jangwani, juzi jioni na jana alifanya maajabu kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyokuwa yakifanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam. Awali,...
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Mrwanda asaini mwaka mmoja Yanga
Yanga imefanya usajili wa kushtukiza na kuwawahi wapinzani wao Simba baada ya kumsainisha mshambuliaji mkongwe Danny Mrwanda  mkataba wa mwaka mmoja akitokea Polisi Morogoro.
10 years ago
BBCSwahili16 Mar
Yanga yaiadhibu Platnum ya Zimbabwe 5-1
Timu ya Yanga nchini Tanzania imejisafishia njia ya kuendelea na michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ.....: MSHAMBULIAJI DANNY MRWANDA AMWAGA WINO YANGA USIKU HUU
Mshambuliaji Danny Mrwanda amemwaga wino wa kuitumikia klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam kwa mkataba wa mwaka mmoja usiku huu.
Yanga imewafanyia umafia watani zao wa jadi Simba,ambayo ilionyesha nia kubwa ya kumuhitaji Mrwanda ikiwa ni kwa hudi na uvumba na tayariilishatangaza nia yake hiyo ya kutaka kumsajili.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga kinasema kuwa,Yanga imeamua kumsajili Mrwanda kuchukua nafasi ya Said Bahanuzi aliyetolewa kwa mkopo kwenda Polisi Morogoro...
Yanga imewafanyia umafia watani zao wa jadi Simba,ambayo ilionyesha nia kubwa ya kumuhitaji Mrwanda ikiwa ni kwa hudi na uvumba na tayariilishatangaza nia yake hiyo ya kutaka kumsajili.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga kinasema kuwa,Yanga imeamua kumsajili Mrwanda kuchukua nafasi ya Said Bahanuzi aliyetolewa kwa mkopo kwenda Polisi Morogoro...
10 years ago
MichuziNSSF MKOA WA TEMEKE YAWAPA SEMINA WAAJIRI WAKE KUHUSIANA NA MOBORESHO YA HUDUMA WANAZOTOA
Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Temeke, Yahya Mhamali akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na Mkoa wa NSSF Temeke kwa Waajiri wake ambayo ilihudhuriwa na Maofisa Rasirimali Watu pamoja na Wahasibu kwa ajili ya uelewa kuhusu moboresho ya formula mpya ya pensheni ambayo imetolewa na SSRA pamoja na huduma zilizoboreshwa kwa kiwango cha Kimatifa kwa NSSF Temeke (ISO). Semina hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam. Wa tatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius...
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Mama awaua wanawe 3 walemavu
Mama anayetuhumiwa kuwaua watoto wake 3 nchini Uingereza amewekwa rumande kwa ukaguzi wa kiakili kabla ya kesi kuanza dhidi yake
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania