Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF MKOA WA TEMEKE YAWAPA SEMINA WAAJIRI WAKE KUHUSIANA NA MOBORESHO YA HUDUMA WANAZOTOA

Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Temeke, Yahya Mhamali akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na Mkoa wa NSSF Temeke kwa Waajiri wake ambayo ilihudhuriwa na Maofisa Rasirimali Watu pamoja na Wahasibu kwa ajili ya uelewa kuhusu moboresho ya formula mpya ya pensheni ambayo imetolewa na SSRA pamoja na huduma zilizoboreshwa kwa kiwango cha Kimatifa kwa NSSF Temeke (ISO). Semina hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam. Wa tatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

NSSF yaendesha semina kwa waajiri, wanachama

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu, amewataka waajiri na wanachama wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kujadili changamoto zinazokabili shirika hilo na...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAWANOA WAAJIRI KUHUSIANA NA HUDUMA ZAKE MPYA IKIWEMO PPF TAARIFA APP

Prof. Betria Mapunda ambae amemwakilisha Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es salaam akifungua semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa Waajiri kwa lengo la Kutoa elimu juu ya huduma zitolewazo na mfuko huo wa Pensheni wa PPF katika ukumbi wa Seaescape, Uliopo Mbezi Beach Jijini Dar Es Salaam.Meneja wa Kanda ya Kinondoni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Zahara Kayugwa akitoa mada wakati wa semina iliyoandaliwa na Mfuko wa Penhsheni wa PPF kwaa Waajiri wa Makampuni na mashirika...

 

10 years ago

Michuzi

WASTAAFU WA NSSF MKOA WA TEMEKE WAAGWA RASMI

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa shirika hilo kutoka ofisi ya mkoa wa Temeke.
Meneja Kiongozi mpya wa Ofisi ya NSSF Mkoa wa Temeke, Chedrick Komba akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa NSSF. Mstaafu wa NSSF, Brahan Newa kutoka Kitengo cha Takwimu akisalimiana na mstaafu mwenzake, aliyekuwa Meneja Kiongozi, Ofisi ya NSSF mkoa wa Temeke, Yahya Mhamali wakati wa hafla ya...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF yaboresha huduma za wateja wake

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeboresha huduma kwa wateja wake kwa kubadilisha muonekano wa ofisi zake za jijini Dar es Salaam ili kupunguza urasimu wa kutoa huduma sanjari na utaratibu wa wateja kubonyeza kitufe maalum kwaajili ya maoni ya huduma zinazotolewa.
Aidha sekta isiyo rasmi na rasmi zimeaswa kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii itakayowawezesha kujikwamua kiuchumi kwani waliojiandikisha kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ni wachache hali inayopelekea wazee...

 

10 years ago

GPL

KATIBU CCM MKOA WA DAR AZINDUA SEMINA ELEKEZI KWA MABALOZI WA MASHINA YA KATA YA VITUKA JIMBO LA TEMEKE‏

 Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu, akizungumza na mabalozi  wa mashina ya Chama cha Mapinduzi (CCM)  Kata ya Vituka Jimbo lake, ambapo mgeni Rasmi wa semina ya mabalozi hao alikuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam  Abillahi Mihella.   Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Miburani Ally… ...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YAFUTURISHA WASTAAFU WAKE MKOA WA TANGA

Principle Operation Officer wa NSSF, Joyce Mruma akigawa zawadi kwa wastaafu wa NSSF wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na shirika hilo. Ofisa Mwandamizi wa Operesheni wa NSSF, Lydia Ignace akitoa zawadi kwa wastaafu wa Shirika hilo waliohudhuria hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na NSSF kwa ajili ya wastaafu wa Mkoa wa Tanga.Principle Operation Officer wa NSSF, Joyce Mruma akitoa zawadi kwa mstaafu wa NSSF, Bella Antao wakati wa hafla ya kufuturisha wastaafu wa Shirika ...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA TEMEKE ASHAURI VODACOM KUSAMBAZA ZAIDI HUDUMA KWA WATEJA WAKE

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Shophia Mjema wa kwanza (kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo Mbagala zakiemu jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo Richard na Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.Hafla hiyo imefanyika leo. Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa Vodacom Tanzania Upendo… ...

 

10 years ago

Mwananchi

NSSF kuwaburuta mahakamani waajiri 34

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkoani Morogoro unakusudia kuwafikisha mahakamani waajiri 34 kwa kushindwa kuwasilisha makato ya wafanyakazi wao.

 

11 years ago

Mwananchi

NSSF yawaburuta waajiri kortini Mbeya

Waajiri watatu mwishoni mwa wiki walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani hapa wakikabiliwa na mashtaka ya kutowasilisha michango ya wafanyakazi ambao ni wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) bila sababu za msingi. Michango hiyo ni karibu Sh140 milioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani