Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF yawaburuta waajiri kortini Mbeya

Waajiri watatu mwishoni mwa wiki walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani hapa wakikabiliwa na mashtaka ya kutowasilisha michango ya wafanyakazi ambao ni wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) bila sababu za msingi. Michango hiyo ni karibu Sh140 milioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NSSF kuwaburuta mahakamani waajiri 34

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkoani Morogoro unakusudia kuwafikisha mahakamani waajiri 34 kwa kushindwa kuwasilisha makato ya wafanyakazi wao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

NSSF yaendesha semina kwa waajiri, wanachama

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu, amewataka waajiri na wanachama wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kujadili changamoto zinazokabili shirika hilo na...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF KUFUATILIA MADENI KWA WAAJIRI SUGU

 Baadhi ya viongozi wa vyuo vya ualimu nchini wakibadirishana mawazo nje ya ukumbi. Washiriki wa warsha kuhusu mfuko wa NSSF ambao ni viongozi wa vyuo vya ualimu nchini wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi .  Washiriki wa warsha ya NSSF kubadirishana mawazo.

Washiriki wakisililiza jambo kutoka kwa mmoja wa watoa mada za NSSF.
Na John Nditi, Morogoro.SHIRIKA  la Taifa la Hifadhi ya Jamii ( NSSF), limewataka  waajiri wa sekta mbalimbali  nchini wanaodaiwa madeni ya makato kutoka kwa...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF MKOA WA TEMEKE YAWAPA SEMINA WAAJIRI WAKE KUHUSIANA NA MOBORESHO YA HUDUMA WANAZOTOA

Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Temeke, Yahya Mhamali akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na Mkoa wa NSSF Temeke kwa Waajiri wake ambayo ilihudhuriwa na Maofisa Rasirimali Watu pamoja na Wahasibu kwa ajili ya uelewa kuhusu moboresho ya formula mpya ya pensheni ambayo imetolewa na SSRA pamoja na huduma zilizoboreshwa kwa kiwango cha Kimatifa kwa NSSF Temeke (ISO). Semina hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam. Wa tatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WAAJIRI WOTE WASIOWASILISHA MICHANGO YA MAFAO YA WAFANYAKAZI KUJISALIMISHA WENYEWE NSSF

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde amewataka waajiri wote nchini ambao hawawasilishi michango  ya wafanyakazi kujisalimisha mapema wenyewe NSSF kabla ya kuchukulia hatua za kisheria.

Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo jana wakati wa kikao baina ya Menejimenti ya NSSF,Kampuni ya Knight Support na Wafanyakazi wa Knight Support juu ya mustakabali wa malimbikizo ya wasilisho la michango ya wafanyakazi pamoja na tozo ya adhabu inayofikia takribani...

 

9 years ago

Dewji Blog

NSSF yaendesha kongamano la Waajiri wa Taasisi mbalimbali za Kiserikali na zisizo za Kiserikali Mkoani Tanga!

1

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati akifungua kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika jana mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach, (Picha na Mwandishi Wetu).

4

Meneja Matekelezo na Kumbukumbu wa NSSF Makao Makuu, Maryam Muhaji akizungumza kwenye kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YAWAFATA WAKULIMA MASHAMBANI MKOANI MBEYA

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)  limeanza  kampeni  ijulikanayo kama NSSF Kwanza ambayo itafanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, Kampeni hiyo imeanza kwa kuwafikia wakulima kwenye vijiji vyao na Mashamba yao  Mkoani Mbeya ili kuweza kuwapa elimu juu ya hifadhi ya jamii na faida zake.
Kampeni hiyo imeanzia kwenye Kijiji cha Iyumpi wilayani Mbozi ambako wakulima wa Kahawa zaidi ya 44 wamejiunga na NSSF. Pia Kampeni hiyo inatarajia kwenda Wilayani Ileje, Vijiji vya Mloo na...

 

10 years ago

Michuzi

HARUSI YA NIAH ALMASI NA JACKLINE BUKUKU WA NSSF MBEYA

Mtumishi wa Nssf Mbeya Niah Almasi   akiwa na nyuso ya furaha baada ya  ya kufunga pingu za maisha na Jackline Bukuku  ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki iliyopita katika msikiti wa Forest jijini Mbeya na maulid iliyofanyika nyumbani kwa Bw.Harusi Brock T jijini hapa .


KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YATOA FURSA KWA WAKAZI WA MBEYA NA SONGEA

Kupitia Semina za Fursa zinazoendelea kufanyika katika mikoa mbali mbali hapa nchini, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) imekuwa ikitoa Elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wananchi na kuwahamasisha kujiunga na mfuko huo ili waweze kunufaika na mafao ya NSSF hususani matibabu bure kwa mwanachama na wategemezi wake pamoja na mikopo kupitia SACCOS.
Fursa nyingine kutoka NSSF ambazo mwanachama anaweza kunufaika nazo ni pamoja na Pensheni ya uzeeni, Pensheni ya Ulemavu, Pensheni ya Urithi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani