Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaiadhibu Platnum ya Zimbabwe 5-1

Timu ya Yanga nchini Tanzania imejisafishia njia ya kuendelea na michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

YANGA YASONGA MBELE HATUA YA 16 YAFUNGWA GOLI 1 NA PLATNUM

Timu ya Yanga imeweza kuvuka hatua ya 16 bora michuano ya kombe la shirikisho baada ya kufungwa goli 1-0 na timu ya Platnum ya Zimbabwe katika mechi ya marudiano iliyochezewa katika uwanja wa Zvishavane nchini Zimbabwe.

Mechi ya kwanza ya timu hizo iliyochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, timu ya Yanga ilishinda bao 5-1 dhidi ya timu hiyo ya Zimbabwe na kufanya timu ya Yanga kuibuka mshindi wa jumla ya mabao 5-2 dhidi ya Platnum,

Mchezaji Walter Msoma wa Platnum ndiye aliyeifungia...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yaiadhibu Polisi Mrwanda awaua ‘waajiri’ wake

Danny Mrwanda akirejea kwa mara ya kwanza kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro akicheza dhidi ya timu yake ya zamani, Polisi ameipa Yanga pointi tatu muhimu na kuipandisha kwa muda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu.

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga kazi moja tu Zimbabwe

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

WAWAKILISHI wa pekee Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga leo itakuwa na kazi moja tu ya kuhakikisha inapata sare au ushindi dhidi ya wapinzani wao, FC Platinum ya Zimbabwe ili kusonga mbele kwenye michuano hiyo.
Yanga itashuka kwenye uwanja wa ugenini wa Mandava kuvaana na wenyeji wao katika mchezo wa marudiano, huku ikiwa na mtaji wa mabao 5-1 walioupata katika mchezo wa awali uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaapa kuia Platinum FC ya Zimbabwe

Serikali ya Tanzania imeipatia klabu ya Yanga ndege kwa kwenda Zimbabwe kucheza mechi ya marudiano dhidi ya wenyeji, Platinum FC.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA NG'ARI NG'ARI TAIFA SASA KWENDA ZIMBABWE WAKIWA NA MZUKA ZAIDI

Amisi na Msavu waing'arisha Yanga taifa kiroho safi warudi kileleni baada ya kuilaza Kagera 2-1 sasa kwenda Zimbabwe wakiwa full mziki kiroho safi.

Simba huko Tanga wakalia kigoda na kuogeshwa mara 2 bila majibu na maafande wa mgambo JKT licha ya majigambo mengi baada ya kuilaza Yanga na Mtibwa, wagoma kuingia vyumba vya kubadirishia nguo na kwenda kubadirishia kwenye basi lao

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUM - ATAKUWA SAFARI LEO KUANZIA SAA MBILI DINNER & MINGLE

MEET AND MiNGLE WITH DIAMOND PLATNUMZ AT SAFARI TONITE     4306 GEORGIA AVE,NW,WASHINGTON,DC

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA NA ZIMBABWE CHUPU CHUPU MILL 100

Mechi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Yanga dhidi ya FC Platinum ya Zimbambwe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumapili imeingiza Sh 91,660,000.Kitita hicho cha Sh milioni 91 kimetokana na watazamaji 14,563 waliokata tiketi kushuhudia mchezo huo.Yanga iliwakung'uta Wazimbabwe hao kwa mabao 5-1 katika mechi hiyo ya kwanza ya Kombe la Shirikisho.Mgawanyo: Mgawanyo wa mapato katika mchezo huo ni, VAT 18% Sh 13,982,033, Gharama ya tiketi Sh 12,380,000, Uwanja 15% Sh ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani