YANGA NG'ARI NG'ARI TAIFA SASA KWENDA ZIMBABWE WAKIWA NA MZUKA ZAIDI
Amisi na Msavu waing'arisha Yanga taifa kiroho safi warudi kileleni baada ya kuilaza Kagera 2-1 sasa kwenda Zimbabwe wakiwa full mziki kiroho safi.
Simba huko Tanga wakalia kigoda na kuogeshwa mara 2 bila majibu na maafande wa mgambo JKT licha ya majigambo mengi baada ya kuilaza Yanga na Mtibwa, wagoma kuingia vyumba vya kubadirishia nguo na kwenda kubadirishia kwenye basi lao
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania