Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga kazi moja tu Zimbabwe

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

WAWAKILISHI wa pekee Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga leo itakuwa na kazi moja tu ya kuhakikisha inapata sare au ushindi dhidi ya wapinzani wao, FC Platinum ya Zimbabwe ili kusonga mbele kwenye michuano hiyo.
Yanga itashuka kwenye uwanja wa ugenini wa Mandava kuvaana na wenyeji wao katika mchezo wa marudiano, huku ikiwa na mtaji wa mabao 5-1 walioupata katika mchezo wa awali uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaiadhibu Platnum ya Zimbabwe 5-1

Timu ya Yanga nchini Tanzania imejisafishia njia ya kuendelea na michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yaapa kuia Platinum FC ya Zimbabwe

Serikali ya Tanzania imeipatia klabu ya Yanga ndege kwa kwenda Zimbabwe kucheza mechi ya marudiano dhidi ya wenyeji, Platinum FC.

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond, Flavour, katika kazi moja

Mwanamuziki nyota nchini, Diamond Platnumz na Flavour kutoka Nigeria watashiriki katika msimu wa pili wa promosheni ya Coke Studio.

 

10 years ago

GPL

FAIDA, HASARA ZA WAPENZI KUFANYA KAZI OFISI MOJA

Ni Ijumaa nyingine nzuri ninapokukaribisha msomaji wangu katika zulia jekundu la uwanja wetu huu ambao ni maalum kwa mambo yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Mada ambayo ningependa kujadiliana nawe msomaji wangu ni kama inavyojieleza kwenye kichwa cha habari. Yawezekana wewe ni mwanaume au mwanamke ambaye unafanya kazi na umpendaye, awe ni mke, mchumba au mpenzi. Je, kuna faida gani unazozipata kutokana na kufanya kazi ofisi moja na...

 

10 years ago

Mwananchi

Alvera: Tulikwenda sekondari Rugambwa kwa kazi moja tu

Baada ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Shule ya Sekondari Rugambwa iliyopo mkoani Kagera, baadhi ya wanafunzi waliojiunga na shule hiyo kwa mara ya kwanza baada ya Uhuru wa Tanganyika wamebeba simulizi za kusisimua.

 

10 years ago

GPL

FAIDA, HASARA ZA WAPENZI KUFANYA KAZI OFISI MOJA -2

Mada iliyopo mezani ni faida na hasara za wapendao kufanya kazi ofisi moja ambayo tulianza kuijadili wiki iliyopita. Uhali gani msomaji wangu? Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vizuri na majukumu ya ujenzi wa taifa. Karibu tena kwenye busati letu ambapo tunajuzana mambo mbalimbali yahusuyo mapennzi. Wiki iliyopita, tulijadili changamoto mbalimbali wanazokutana nazo wanandoa au wawili wapendanao wanaofanya kazi kwenye ofisi...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga waenda likizo wiki moja

UONGOZI wa timu ya soka ya Yanga umetoa mapumziko ya wiki moja kwa wachezaji wake hadi Novemba 12, mwaka huu baada ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kuwa imesimama kwa muda.

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga, Azam kundi moja Mapinduzi

ratibaHUSSEIN OMAR NA KOMBO ALI, ZANZIBAR

KLABU za Yanga na Azam zimepangwa kundi moja kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, ambayo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi visiwani Zanzibar, Januari 2, mwakani katika Uwanja wa Amaan.

Kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa jana, Yanga na Azam wako Kundi B la michuano hiyo pamoja na timu za Mafunzo na Mtibwa Sugar ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Wakati Kundi A, lina timu za Simba, URA ya Uganda, JKU ya Unguja na Jamhuri ya Pemba kundi ambalo linaonekana kuwa dhaifu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani