Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAIDA, HASARA ZA WAPENZI KUFANYA KAZI OFISI MOJA -2

Mada iliyopo mezani ni faida na hasara za wapendao kufanya kazi ofisi moja ambayo tulianza kuijadili wiki iliyopita. Uhali gani msomaji wangu? Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vizuri na majukumu ya ujenzi wa taifa. Karibu tena kwenye busati letu ambapo tunajuzana mambo mbalimbali yahusuyo mapennzi. Wiki iliyopita, tulijadili changamoto mbalimbali wanazokutana nazo wanandoa au wawili wapendanao wanaofanya kazi kwenye ofisi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FAIDA, HASARA ZA WAPENZI KUFANYA KAZI OFISI MOJA

Ni Ijumaa nyingine nzuri ninapokukaribisha msomaji wangu katika zulia jekundu la uwanja wetu huu ambao ni maalum kwa mambo yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Mada ambayo ningependa kujadiliana nawe msomaji wangu ni kama inavyojieleza kwenye kichwa cha habari. Yawezekana wewe ni mwanaume au mwanamke ambaye unafanya kazi na umpendaye, awe ni mke, mchumba au mpenzi. Je, kuna faida gani unazozipata kutokana na kufanya kazi ofisi moja na...

 

10 years ago

GPL

MNAFANYA KAZI OFISI MOJA; NI SAHIHI MUME KUMPA MKE FEDHA ZA MATUMIZI?

WAPENDWA wasomaji wetu, wiki iliyopita tulikuwa na mada ya Dear, Mpenzi maneno yasiyokuwa na maana tena! Naamini wengi wenu mliinjoi kwani mada ilijitosheleza. Nawashukuru sana wale walionipigia simu kunipongeza, lakini hata wale walionikosoa, nilichukua yale yaliyostahili. Wiki hii hatuko mbali na familia, mada yetu inasema; mke, mume wanafanya kazi ofisi moja. Je, ni sahihi mume kumpa mkewe fadha za matumizi? Twende pamoja...
...

 

5 years ago

Michuzi

Ofisi za ukaguzi kujengwa nchi nzima ili kuongeza uhuru wa kufanya kazi


Na Amiri kilagalila,Njombe

Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali nchini Bw,Charles E Kichere,amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa ofisi ya Taifa ya ukaguzi mkoa wa Njombe inayoendelea kujengwa mkoani humo,huku akiagiza kukamilishwa kwa ofisi hizo kabla ya mwezi wa sita ili ziweze kutumika.

Akiwa katika eneo la jengo za ofisi hizo lililopo Lunyanywi halmashauri ya mji wa Njombe,Kichere amesema anahitaji majengo hayo kukamilika kabla ya mwezi wa sita ili watumishi wapate...

 

10 years ago

Mwananchi

Faida na Hasara za majibizano katika mahusiano

Sidhani kama kuna ambaye hajawahi kujikuta kwenye majibizano na mpenzi wake. Hata wakati mnaingia katika mlipuko wa majibizano hata mnashindwa kujua sababu ya kujibizana kwenu.Vitu kama vile mmoja kuchelewa kurudi nyumbani, kushindwa kuwasiliana sawa na mwingine alivyotarajia, kushindwa kutoa msaada pale ulipohitajika, hisia za kuwapo kwa mahusiano pembeni, tabia zisizoeleweka baina ya mmoja na simu yake ya mkononi au ndugu zenu kuingilia uhusiano wenu kwa namna yoyote ile.

 

10 years ago

GPL

FAIDA NA HASARA YA LIKIZO NA MUONGOZO WAKE-2

ITAKUMBUKWA kuwa mada hii tulianza nayo wiki iliyopita ambapo tulitazama baadhi ya dokezo muhimu za kuzingatia kwenye likizo, na mwisho tukakomea kwenye kifungu hiki: Mwanafunzi wangu, naamini utakuwa na swali juu ya mada hii: “Nifanye nini katika kipindi cha likizo ili nipate faida zote mbili?” Jibu liko kwenye vidokezo vitatu, KWANZA ni kwako mwanafunzi kujitambua, PILI kwa mwalimu wako na TATU kwa wazazi. Leo...

 

11 years ago

Mwananchi

Faida, hasara usajili ghali wa Man U

Wiki iliyopita, kocha wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson alisema timu sita ikiwamo Manchester United ndiyo zenye nafasi kubwa ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya England ingawa hakuitaja Liverpool.

 

10 years ago

Michuzi

WATUMISHI WAPYA 222 WA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI WAASWA KUFANYA KAZI KWA KUJITUMA NA UZALENDO

Kaimu Naibu Mwanasheria Mkuu Wa Serikali, Sarah Mwaipopo akisisitiza jambo wakati akifunga Mafunzo Elekezi ya awali kwa Watumishi wapya wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wapatao 222. Kaimu Naibu Mwanasheria Mkuu Wa Serikali, Sarah Mwaipopo akihutubia Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Hawapo Pichani) Wakati wa Kufunga Mafunzo ya awali kwa Watumishi wapya. Wengine pichani kuanzia kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Divisheni ya Mashtaka, Bi Mary Lyimo na Mkuruegenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani