MNAFANYA KAZI OFISI MOJA; NI SAHIHI MUME KUMPA MKE FEDHA ZA MATUMIZI?
WAPENDWA wasomaji wetu, wiki iliyopita tulikuwa na mada ya Dear, Mpenzi maneno yasiyokuwa na maana tena! Naamini wengi wenu mliinjoi kwani mada ilijitosheleza. Nawashukuru sana wale walionipigia simu kunipongeza, lakini hata wale walionikosoa, nilichukua yale yaliyostahili. Wiki hii hatuko mbali na familia, mada yetu inasema; mke, mume wanafanya kazi ofisi moja. Je, ni sahihi mume kumpa mkewe fadha za matumizi? Twende pamoja... ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziHOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya...
10 years ago
VijimamboHOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Mume ajeruhi mke alipoombwa fedha za dawa
MKAZI wa Kijiji cha Mnyamasi, wilayani Mpanda, Katavi, Tatu Mihambo (20) amejeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali mwilini baada ya kupigwa na mumewe kwa fimbo, kisha kumwagiwa maji ya moto mkononi na...
11 years ago
Michuzihoja ya haja: Wingi wa Askari wa Usalama Barabarani na Matumizi Sahihi ya Muda wa Kazi na Rasilimali Watu
10 years ago
GPLFAIDA, HASARA ZA WAPENZI KUFANYA KAZI OFISI MOJA -2
10 years ago
GPLFAIDA, HASARA ZA WAPENZI KUFANYA KAZI OFISI MOJA
10 years ago
Vijimambo26 May
HOTUBA YA MHE. CECILIA PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16
Mhe. Cecilia Daniel Paresso (MB).
(Inatolewa kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge kanuni ya 99(9) toleo la mwaka 2013).
1.0 UtanguliziMheshimiwa Spika,Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia Taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa ninapokuwa katika shughuli zangu za kisiasa.
Mheshimiwa Spika, Napenda kutumia fursa hii, kuwashukuru watanzania wote kwa kupokea na kulea harakati za mabadiliko...
10 years ago
GPLHOTUBA YA MHESHIMIWA CECILIA DANIEL PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016