YANGA NA ZIMBABWE CHUPU CHUPU MILL 100
Mechi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Yanga dhidi ya FC Platinum ya Zimbambwe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumapili imeingiza Sh 91,660,000.Kitita hicho cha Sh milioni 91 kimetokana na watazamaji 14,563 waliokata tiketi kushuhudia mchezo huo.Yanga iliwakung'uta Wazimbabwe hao kwa mabao 5-1 katika mechi hiyo ya kwanza ya Kombe la Shirikisho.Mgawanyo: Mgawanyo wa mapato katika mchezo huo ni, VAT 18% Sh 13,982,033, Gharama ya tiketi Sh 12,380,000, Uwanja 15% Sh ...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Liverpool yaponea chupu chupu
10 years ago
Habarileo14 Mar
Mtoto albino chupu chupu
MTOTO wa umri wa miaka sita, mwenye ulemavu wa ngozi (albino), anayeishi Kijiji cha Ndoleleji, amekoswakoswa na watu waliokuwa wakimvizia akiwa katika michezo, baada ya watoto wenzake kuchukua uamuzi wa kumlinda.
10 years ago
Bongo517 Oct
New Music: Gosby f/ Meek Mill — O To 100/ The Catch Up Remix
10 years ago
BBCSwahili16 Mar
Yanga yaiadhibu Platnum ya Zimbabwe 5-1
10 years ago
Mtanzania04 Apr
Yanga kazi moja tu Zimbabwe
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
WAWAKILISHI wa pekee Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga leo itakuwa na kazi moja tu ya kuhakikisha inapata sare au ushindi dhidi ya wapinzani wao, FC Platinum ya Zimbabwe ili kusonga mbele kwenye michuano hiyo.
Yanga itashuka kwenye uwanja wa ugenini wa Mandava kuvaana na wenyeji wao katika mchezo wa marudiano, huku ikiwa na mtaji wa mabao 5-1 walioupata katika mchezo wa awali uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Yanga yaapa kuia Platinum FC ya Zimbabwe
10 years ago
Vijimambo03 Feb
Milioni 100 zaiua Yanga U/Taifa
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2610270/highRes/936165/-/maxw/600/-/2opaqwz/-/yanga+picha.jpg)
10 years ago
Vijimambo19 Mar
YANGA NG'ARI NG'ARI TAIFA SASA KWENDA ZIMBABWE WAKIWA NA MZUKA ZAIDI
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/tambwe.jpg)
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/DSC_0081.jpg)
Simba huko Tanga wakalia kigoda na kuogeshwa mara 2 bila majibu na maafande wa mgambo JKT licha ya majigambo mengi baada ya kuilaza Yanga na Mtibwa, wagoma kuingia vyumba vya kubadirishia nguo na kwenda kubadirishia kwenye basi lao
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-awek_PkN0wA/Vlh5dl4GVAI/AAAAAAAIIpc/GydcGwIgVrk/s72-c/unnamed.jpg)
The BBC hosts debates throughout Africa as part of the 100 Women season More than 100 conversations across the world will discuss what it means to be a “good girl†or an “ideal womanâ€
![](http://3.bp.blogspot.com/-awek_PkN0wA/Vlh5dl4GVAI/AAAAAAAIIpc/GydcGwIgVrk/s640/unnamed.jpg)
The BBC will host debates throughout the day at BBC Broadcasting House in London, while more than 100 conversations will happen across the globe in eight languages. In Africa, many groups across the continent will...