Mtoto albino chupu chupu
MTOTO wa umri wa miaka sita, mwenye ulemavu wa ngozi (albino), anayeishi Kijiji cha Ndoleleji, amekoswakoswa na watu waliokuwa wakimvizia akiwa katika michezo, baada ya watoto wenzake kuchukua uamuzi wa kumlinda.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo17 Mar
YANGA NA ZIMBABWE CHUPU CHUPU MILL 100
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/msuva-yanga.jpg)
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Liverpool yaponea chupu chupu
10 years ago
Mtanzania26 Feb
Waliomteka mtoto albino wanaswa
Na Waandishi Wetu, Mwanza
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, ametangaza kutiwa mbaroni kwa watuhumiwa wanaodaiwa kumteka mtoto Pendo Emmanuel (4) ambaye ni mlemavu wa ngozi (albino).
Mulongo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa, amesema watu hao wanahusishwa na tukio la kutekwa kwa mtoto Pendo katika Kijiji cha Ndami wilayani Kwimba mkoani hapa.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Mwanza baada ya kumwapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Kwimba, Pili Moshi,...
10 years ago
Mtanzania21 Feb
Mtoto albino azikwa chini ya ulinzi
Na Benjamin Masese, Geita
MABAKI ya mwili wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati (1) ambaye alitekwa Februari 16, mwaka huu na kuuawa kwa kukatwa mikono na miguu, jana yalizikwa kaburini chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mazishi ya mtoto huyo yalifanyika saa tisa alasiri katika Kijiji cha Ilelema, Wilaya ya Chato, mkoani Geita, huku polisi wakiwa wameimarisha ulinzi.
Mabaki ya mwili wa mtoto huyo yalipelekwa kwanza nyumbani kwa babu yake, Misalaba Manyamche, saa sita mchana kabla ya...
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Mtoto mwingine Albino akatwa mkono
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QxYZWE5p2qurjWLm0IL3Zg*GdwBKG0*YnZivT-ERAQD7bxteJFXn6tqe2ge16t5lVeDmmQjSEqt4S1xY113bFlaMkkNRwURs/4.jpg)
MAMA WA MTOTO ALBINO ALIYEUAWA AMLIZA JB
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Akamatwa akitafuta mteja wa mtoto albino
10 years ago
Vijimambo31 Dec
Mtoto albino anyakuliwa mbele ya wazazi
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Valentino-31Dec2014.jpg)
Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Pendo Emmanuel (4), ameibiwa nyumbani kwao katika kijiji cha Ndami, Tarafa ya Mwamashimba, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, akiwa amelala na wazazi wake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema kuwa tukio hilo lilitokea Desemba 27, mwaka huu saa 4:30 usiku, baada ya watu hao kuvunja mlango wa nyumba kwa kutumia jiwe kubwa, maarufu kama...
10 years ago
CloudsFM22 Jan
POLISI MWANZA WAMSAKA MTOTO ALBINO ALIYEPOTEA
POLISI wametangaza kutoa dau la shilingi milioni tatu sawa na dola 1,700 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa mtoto albino, Pendo Emmanuel aliyetoweka nyumbani kwake na kupelekwa mahali pasipojulikana mwezi uliopita mkoani Mwanza.
Awali watu 15 walikamatwa na jeshi la Polisi mkoani Mwanza kufuatia msako unaojulikana kama 'Hakuna kulala' dhidi mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) Pendo Emanuel kutekwa na watu wasiojulikana usiku wa tarehe 27.12.2014 nyumbani kwao...