Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto albino anyakuliwa mbele ya wazazi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola.
Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Pendo Emmanuel (4), ameibiwa nyumbani kwao katika kijiji cha Ndami, Tarafa ya Mwamashimba, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, akiwa amelala na wazazi wake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema kuwa tukio hilo lilitokea Desemba 27, mwaka huu saa 4:30 usiku, baada ya watu hao kuvunja mlango wa nyumba kwa kutumia jiwe kubwa, maarufu kama...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

UN yaisifu Tanzania kuwa mstari wa mbele kutetea albino

UN 12

Baadhi ya watu wenye ulemavu wakipita na mabango yenye ujumbe katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha kwa  maandamano kwenye maadhimisho ya Siku yao ambayo inalenga kutoa elimu ya kupinga matendo maovu wanayofanyiwa na watu wenye nia mbaya.(Picha na modewjiblog)

Na Mwandishi wetu, Arusha

MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mkurugenzi wa Shirika la Mpango wa maendeleo (UNDP) nchini,  Alvaro Rodgriguez amepongeza Tanzania kwa kuwa mstari wa mbele kushawishi dunia siku ya...

 

10 years ago

GPL

UN YAISIFU TANZANIA KUWA MSTARI WA MBELE KUTETEA ALBINO‏

Baadhi ya watu wenye ulemavu wakipita na mabango yenye ujumbe katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha kwa maandamano kwenye maadhimisho ya Siku yao ambayo inalenga kutoa elimu ya kupinga matendo maovu wanayofanyiwa na watu wenye nia mbaya. Baadhi ya watu wenye ulemavu wakipita na mabango yenye ujumbe katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha kwa… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

UK yapitisha Sheria ya mtoto wa wazazi 3

Uingereza imekuwa nchi ya kwanza kuidhinisha sheria itakayorusu uzaaji wa watoto wenye vinasaba, DNA kutoka kwa watu watatu

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

Mimi Reppyson Ishababaki na mke wangu Elida Fundi. Tunapenda kutoa taarifa ya kupotea kwa mtoto wetu kipenzi Meryline Reppyson. Ameibiwa jana jioni na mtu tusiyemfahamu na hatujampata mpaka sasa hivi.
 Tunawaomba Watanzania na watu wote mtusaidie kumtafuta mtoto wetu. Maneno yanayosemwa kwamba kachukuliwa na baba yake si ya kweli kwani mimi ndiye baba yake mzazi na tunaishi pamoja na mke wangu. 
Asanteni sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.

 

10 years ago

Habarileo

'Wazazi zingatieni haki za mtoto'

WAZAZI na walezi wa watoto wamehimizwa kuzingatia haki za mtoto katika malezi yao kuanzia ngazi ya familia kwa kuwapa stahili zote muhimu zinazotajwa katika Katiba, sheria na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeiridhia.

 

11 years ago

GPL

WAZAZI WASUSA MAITI YA MTOTO WAO

Haijakaa sawa! Tofauti na desturi ya Kitanzania watu kuwa pamoja katika kipindi cha matatizo, wazazi wa marehemu, Leonard Jorome Mwakanyamale, wanadaiwa kususa kuzika maiti ya mtoto wao kisa ugomvi kati ya marehemu na nduguze. Kijana Leonard Jorome Mwakanyamale,enzi za uhai wake Leonard ambaye alikuwa akiishi Buguruni jijini Dar, alifariki dunia Mei 10, mwaka huu kwa Ugonjwa wa Malaria.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa jirani...

 

9 years ago

Michuzi

Mtoto Amepotea, anatafutwa na wazazi wake

Jina: Muhdini Ally Kature
Miaka: 12, mweupe 
Kawaida anaishi na babu mzaa mama yake kijiji cha Kikore wilayani Babati Mkoa wa Manyara. Anasoma Kikore shule ya Msingi darasa la saba.Alitoweka nyumbani kwa babu yake tarehe 16/10/2015, mida ya saa nane mchana akiaga anaelekea sokoni.
Atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi kilicho karibu nae au piga simu 0717924389 (Asha Mlei – Mama Mzazi; CCBRT, DSM)/0683075536 (Mzee Ally Kature Ally – Babu)

 

11 years ago

Mwananchi

Nafasi ya wazazi katika mavazi ya mtoto

Katika maisha ya familia ndani ya jamii ni muhimu kwa mzazi kujenga utamaduni wa kumfunza watoto wako namna bora ya uvaaji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto mkimbizi akutanishwa na wazazi wake

Kijana wa Syria ambaye kutoweka kwake hospitalini mjini Belgrade katika kambi ya wakimbizi barani Ulaya kulizua hisia kali miongoni mwa mitandao ya kijamii ameunganishwa tena na wazazi wake

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani